Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Kwa nchi za Kiafrika,hata ukiweka chizi Ikulu,ataonekana ana akili kama Profesa na mwenye busara kama nabii Suleiman.
JPM alikuwa mwizi kama majizi mengine yaliopo sasa hv
Kwenu raisi bora ni yule anaeruhusu watu wajifanyie wanachotaka dhuluma na michezo ya kifisadi sio!

Magufuli alikuwa na mapungufu kama binadamu ila kuwanyoosha majizi that one i liked! Ifikie mahali na wao waone uhuni waliotufanyiaga jinsi unavyoumiza yani!
 
Mwendazake alikuwa na uwezo tu wa kusema chochote alichotaka kusema, lakini hakuwa na uwezo wa kutenda kadri ya kauli zake, mifano ipo mingi:
1.Alisema Maendeleo hayana chama, Lakini huyohuyo akasema hatopeleka maji wala umeme walipochagua mpinzani
2.Katika hotuba zake alikuwa akiwahamasisha wananchi kuungana na kuwa kitu kimoja kupigania nchi yetu lakini yeye mwenyewe aliwagawa na kuwabagua wananchi waziwazi kabisa kwa misingi ya ukabila, ukanda na itikadi za kisiasa.
3.Alihubiri kupambana na ufisadi wakati yeye manunuzi aliyofanya kwa fedha za wananchi akagoma yasikaguliwe, tutajuwaje kama chenchi yetu ilobakia ilirudishwa hazina?
4. Wapi 1,5 trilion? Hivi huku nako sio kuchezewa???
Pamoja na yote kama alifanya maendeleo kama raisi na alikuwa visionary sioni shida hakuna raisi ambaye hakuwa mwizi anyways
 
Kila siku mi nasemaga, tatizo kubwa la nchi yetu ni ubinafsi. Sio Wazalendo, tungekuwa kama Marekani tungekuwa mbali sana.. japo ni wakatili na watu wa triki lakini katika uzalendo wapo vizuri.
 
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?

Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241].

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24],MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA[emoji1241]

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
Labda kama itatumika kama rejea ya kuonyesha vizazi vijavyo kwamba Tanzania iliwahi kupata Rais kituko kiwango cha 5G, muongo sana, mzandiki sana, katili sana, fisadi sana na mtu mwenye roho mbaya kama Hitler!
Vinginevyo ni hotuba inayostahili kufutwa kabisa katika nyaraka za serikali na historia ya nchi yetu! Never Ever again in Tanzania.
 
Kiukweli aliipenda zaidi Chatto, ndugu zake kina kalemani amewapa jamaa zake ajira! Wanasema humu jf!
 
Ngoja waje wale wenye mimba za chuki kwa mwendaze waje ila mwamba mpaka sasa kaonesha uthubutu mkubwa sana.
 
Jpm alifanya mambo makubwa yawe rahisi hasa Kwenye miundombinu , Madini na nidhamu kazini ilirudi na vilevile watu walikumbuka umuhimu wa demokrasia
 
Hizo zilikuwa fix tu
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?

Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241].

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24],MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA[emoji1241]

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
 
Huyu mzee lazima angaliwe kwa jicho la mbali sana anaaza kumnanga bashiru na polepole anajihami mapema maana Bashiru ana siri nyingi sana za mafisadi wa mali za ccm na waliojimilikisha mali za ccm wanawajuwa kwa majina maana bashiru alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kukagua mali za ccm ndo maana wanawaandama sana tuwe makini watz na hawa watu
Kama nyie na huyo Bashiru mwajiona ni wakweli na wasafi zaidi, rudisheni basi mali za wananchi; viwanja vya michezo na majengo mlivyojimilikisha. Ama sivyo wote ni wezi waliowahiana tu hakuna mwenye ubavu wa kumshika mwingine.
 
Pamoja na nia njema ya Mzee Magufuli sijui kwanini alifanya haya
1. Kutokemea vitendo vya watu kupotea na kuuwawa
2. Kutoongeza maslahi kwa watumishi wa umma
3. Kubariki biashara ya kununua wanasiasa wa upinzani
4. Kuzungumza lugha za kibaguzi kwa watu waliopata tetemeko Kagera, kuzungumza lugha ya kibaguzi kwa waliovunjiwa nyumba zao
5. Kuita trafic police kunywa nao chai ikulu ile siku meli imezama kule Ukerewe na Taifa liko katika msiba na wala hakuwahi kwenda kule

Orodha ni ndefu
Ila alijitahidi kwa kiasi chake
Nyie ndo wale mliokuwa mkitoka kwenye chumba cha mtiani mnajisifu kuwa mmeshusha nondo kwenye history matokeo yakija mna zero[emoji23][emoji23] OP nyingi.
 
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?

Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241].

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24],MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA[emoji1241]

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
Hizo siri zikiwemo na mambo ya Hovyo aliyoyafanya Magufuli anazo Rais Samia.
 
Fatma

Ilikuwa nikupe complimentary ya LIKE

Ila kuna chizi umemtaja hapo kwenye aya yako ya Mwisho.

Hayo mambo ya Hovyo ya JPM ndiyo sababu iliyochangia tabaka la chini kumpenda

Mutu yenye maamuzi, Mutu yenye msimamo!

Achana na hao mbilimbili wengine,

the guy was really not fake like Chinese handset!

Thanks!
Mkuu inasikitisha sana kujua kijana msema Sana kumbe alikuwa anatumiwa na old CEO wa kampuni yetu!
 
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?

Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! 🇹🇿 Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! 🇹🇿 Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu😣 🇹🇿. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania 🇹🇿.

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM🙏🙏🙏 😭😭😭,MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA🇹🇿

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
Anajuwa Siri zote za nchi ila hakujua makali ya COVID-19, haikukopesha ikapitanaye kenge mkubwa yule
 
Back
Top Bottom