Hahahaha!! Hasira ya nini rafiki.Air Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
Ina-, ita- sisi hupenda kuongelea vitu ambavyo vipo.Hahahaha!! Hasira ya nini rafiki.
Tayari CS 300 mbili zipo njiani mwezi wa saba zinatia timu.
boeing 787-8 dreamliner inatua mwezi wa saba pia. Mbona mwaka huu nyongo itawatoka!!
Nawaomba wanajamvi. Rais amesema leo kuna ndege nyingine ya saba imeongezwa.
Je, Zile picha za Issa Michuzi kwenye Instagram zikimwonesha akiwa kwenye kiwanda cha airbus. Je, kuna mambo kama haya yanaweza tokea?
Hebu nawaomba msikilize hapa:
Huyo mzungu anaangalia Magufuli na kujiambia kimoyomoyo "Hawa waafrika wanakuanga washamba sana!"
Bei ya korosho imepanda hadi kufikia 3500 per kg...mara baada ya awamu ya tano kuingia madarakani.Kilimo cha korosho kimeshasimama wima.Aiseee!
Hiyo hela bora hata tungwekeza kwenye korosho
Aiseee!
Hiyo hela bora hata tungwekeza kwenye korosho