Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Nawaomba wanajamvi. Rais amesema leo kuna ndege nyingine ya saba imeongezwa.
Je, Zile picha za Issa Michuzi kwenye Instagram zikimwonesha akiwa kwenye kiwanda cha airbus. Je, kuna mambo kama haya yanaweza tokea?
Hebu nawaomba msikilize hapa:

Air Tanzania ina fleet size ya ndege nne. Sasa mnapotuambia mmeongeza ndege ya saba hiyo ni wendazimu gani? Mtaongezaje ya saba kama hamna ya tano na sita?
Hahahaha!! Hasira ya nini rafiki.
Tayari CS 300 mbili zipo njiani mwezi wa saba zinatia timu.
boeing 787-8 dreamliner inatua mwezi wa saba pia. Mbona mwaka huu nyongo itawatoka!!
 
!
!
Tegemeeni Kupigwa Marufuku Au Kuwekewa Masharti Magumu Kwa Mashirika Binafsi. Mbinu Za Kibiashara Ya Ushindani Hakuna
 
Hahahaha!! Hasira ya nini rafiki.
Tayari CS 300 mbili zipo njiani mwezi wa saba zinatia timu.
boeing 787-8 dreamliner inatua mwezi wa saba pia. Mbona mwaka huu nyongo itawatoka!!
Ina-, ita- sisi hupenda kuongelea vitu ambavyo vipo.
 
Nawaomba wanajamvi. Rais amesema leo kuna ndege nyingine ya saba imeongezwa.
Je, Zile picha za Issa Michuzi kwenye Instagram zikimwonesha akiwa kwenye kiwanda cha airbus. Je, kuna mambo kama haya yanaweza tokea?
Hebu nawaomba msikilize hapa:

Vipi! Hajasema kuongeza mishahara?
 
Unazungumzia picha za Michuzi akiwa kwenye msafara wa Kikwete alipotembelea kampuni ya Airbus France enzi akiwa mwandishi wa raisi Kikwete
 
Back
Top Bottom