nchi inamatatizo mengi sugu kama mafuriko, ukame, barabara mbovu baadhi ya maeneo nchini, ukosefu wa ajira, ukosefu wa maji safi na yakutosha , ukosefu wa huduma bora za afya na vituo vya afya, ukosefu wa miundo mbinu bora ya elimu na umeme usioridhisha, viwanja vya ndege visivyo na ubora n.k...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
HIVI NI NANI KAMWAMBIA JIWE KUA TUNA SHIDA NA HIZO NDEGE ??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Go back where you belong.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mimi hao huwa siwajibu. [emoji3]Kwa Dada yao wa taifa la Insta.
[HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] at work!Aiseee!
Hiyo hela bora hata tungwekeza kwenye korosho
Nakwambia mwaka huu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] huko aliko, na yule dada wa taifa la insta, mpaka watajitia kitanzi.Hahahaha!! Hasira ya nini rafiki.
Tayari CS 300 mbili zipo njiani mwezi wa saba zinatia timu.
boeing 787-8 dreamliner inatua mwezi wa saba pia. Mbona mwaka huu nyongo itawatoka!!