Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

Hili ni jukwaa la habari za Kenya sasa Watanzania mshawasha wa nini kuna majukwaa lukuki ya umaskini na upumbavu wetu achilia mbali kumpigia magoti Dikteta Uchwara
Tunataka kumfahamu habari za Kenya hapa sio ushindani wa kijinga
 
nchi inamatatizo mengi sugu kama mafuriko, ukame, barabara mbovu baadhi ya maeneo nchini, ukosefu wa ajira, ukosefu wa maji safi na yakutosha , ukosefu wa huduma bora za afya na vituo vya afya, ukosefu wa miundo mbinu bora ya elimu na umeme usioridhisha, viwanja vya ndege visivyo na ubora n.k...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

HIVI NI NANI KAMWAMBIA JIWE KUA TUNA SHIDA NA HIZO NDEGE ??


Go back where you belong.
 
Kuwa na ndege different types unaongeza inventory cost better buy same typdmdo
 
Hahahaha!! Hasira ya nini rafiki.
Tayari CS 300 mbili zipo njiani mwezi wa saba zinatia timu.
boeing 787-8 dreamliner inatua mwezi wa saba pia. Mbona mwaka huu nyongo itawatoka!!
Nakwambia mwaka huu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] huko aliko, na yule dada wa taifa la insta, mpaka watajitia kitanzi.
 
Back
Top Bottom