Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

Kuteka.
KUUA.
Kubambika kesi.
Ndege kukamatwa.
Uongo wa MAKINIKIA.
Kutumbua hovyo.
KUFUKUZA WANAFUNZI hovyo.
Kuvamia akaunt za benk.
Genge la akina sabaya makonda nk.
Sukuma geng.
Maendeleo chato tu.
Kumkandamiza media.
Wizi uchaguzi mkuu.
Uongo.

Yapo mengi haya ni machache kwa haraka haraka tu.

MAGUuuuFULaaI ALIKUWA MUONGO SANA
MUONGO YANI MUONGO.

Itoshe kusema Alikuwa mtu wa HOVYO sana
 
Taasisi? Hizo ni theory za uongo. Dunia hii imejengwa na strong leaders. Hakuna taasisi imara bila kiongozi imara.

China ilijengwa na Mao hakuwa Rais alikuwa party leader ila alikuwa na nguvu zaidi ya serikali. Jifunze ili usishikwe maskio.
 
Script hizi mnaandikiwa lakini upeo wenu mdogo sana, mngekubali kujifunza mngeuliza maswali niwafafanulie kila kitu.

Nimeandika vitu vya watu wenye upeo only. Si kila mtu ataelewa
 
Nchi inabadilishwa na katiba Bora sio Rais.
 
Taasisi? Hizo ni theory za uongo. Dunia hii imejengwa na strong leaders. Hakuna taasisi imara bila kiongozi imara.

China ilijengwa na Mao hakuwa Rais alikuwa party leader ila alikuwa na nguvu zaidi ya serikali. Jifunze ili usishikwe maskio.

Strong leaders kivipi. Wakati ukifa mambo yanarudi kulekule.
 
Wapo(tupo) wengi sana.
Tatizo ni CCM yenyewe.
Sio ile alioiasisi mwl.Nyerere.
 
Taasisi? Hizo ni theory za uongo. Dunia hii imejengwa na strong leaders. Hakuna taasisi imara bila kiongozi imara.

China ilijengwa na Mao hakuwa Rais alikuwa party leader ila alikuwa na nguvu zaidi ya serikali. Jifunze ili usishikwe maskio.
Kama unaona taasisi ni theory za uongo basi wewe hujui chochote kuhusu kuongoza nchi.unashindwa ata kujua huyo mao alikua kiongozi wa chama aliyeweka misingi yakitaasisi inayoiongoza china hadi leo.kazi ya kiongozi ni kujenga misingi.sasa tanzania tunashindwa kwasababu tunategemea mtu mmoja atuamulue.Huyo Magufuli yeye mwenyewe alishindwa kwasababu alitaka kuongoza yeye kama yeye badala yakutengeneza nchi yenye misingi imara kwenye kila sekta.Nchi itakombokewa na wananchi wenyewe sio hadi kumtegemea mtu mmoja ambaye naye anakuja na kupita au asije kabisa.Mtu yoyote anaweza kua kiongozi ili mradi kuwe na miongozo na misingi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…