Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

Huwezi kuibadilisha nchi bila transparency....sahz DR. SSH ndo anaibadilisha nchi kwa uwazi kabisa kila hatua wananchi tunashirikishwa
Kwa mfano kipi unaona kinabadirika kiukweli ukweli?
 
Si kweli..upeo wako wakufikilia ni mdogo sana..unauwakika gani? Unajuaa alichofanya Nyerere katka hii nchi ni makubwa jee unajuaa Rais atayekuja baada baadaee miakq michachee ijayo..au kipindi mwanao akianza kupiga...labda usemaa wewe binafsi ndio raisi wako bora Magufuri...
Nyerere nchi ilimshinda.
 
Nchi itaenda tu...maendeleo yatakuja.
Sio lazima mikikimikiki..
 
Msoga watakuambia nchi haihitaji kubadilika hapa ilivyo iko sawa kabithaa
 
Ata Hitler aliibomoa Ujerumani ili aijenge upya!
Hakuna taifa lililoendelea kwa kucheka na vibaka,watu wanaiba fedha za umma Rais anasema STUPID then mambo yameisha!!alafu tunataka kuendelea!!
Vipi zile Tsh 1.5 Trillion za CAG Report ya 2016/17? Hakuna mwizi amewahi kumzidi Magufuli hapa Tanzania toka tupate uhuru
 
Back
Top Bottom