Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

Script hizi mnaandikiwa lakini upeo wenu mdogo sana, mngekubali kujifunza mngeuliza maswali niwafafanulie kila kitu.

Nimeandika vitu vya watu wenye upeo only. Si kila mtu ataelewa
Hapo kipi ni cha uongo?
 
Fanyia kazi ushauri wa Zitto.
Shetani lenu lilidhani litaishi milele likataka kumuondoa Lissu Mungu akalitanguliza lenyewe ss misukule yake ndo mnatapatapa na ibada za watu
 
Taasisi? Hizo ni theory za uongo. Dunia hii imejengwa na strong leaders. Hakuna taasisi imara bila kiongozi imara.

China ilijengwa na Mao hakuwa Rais alikuwa party leader ila alikuwa na nguvu zaidi ya serikali. Jifunze ili usishikwe maskio.
Kasome upya history ya China
Huyo Mao aliiharibu sana china tena zaidi ya sana kama Nyerere hapa kwetu

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mtupu, nchi zote zilizoendelea zumepitia magumu kama vita ,mauwaji na mengineyo.. ili tuendelee ni lazima tuwafyeke vibaraka wote na wanoko wanaotukwamisha.

Mimi sio muumini wa demokrasia kabisa, demokrasia ni upuuzi na takataka za wazungu tulizoletewa ili tuendelee kuwa nyuma kimaendeleo.

Hao marekan walileta demokrasia baada ya wao kujikomboa kiuchumi.

Demokrasia haifai ktk nchi maskini ni upuuzi tu
 
nchi hii imejaa malaya malaya wanaopenda dezo dezo,wameenda shule lakini elimu hazijawasaidia.

mtu anakwambia tunahitaji demokrasia wakati huu nchi iko matopeni.
 
Nchi za Africa zinahitaji kiongozi kama JPM
Wazungu wamepitia shida na kua na viongozi imara mpaka kufika hapo walipo,

Josep Stalin wa Russia ndio Russia ya leo,Adolf Hitler ndio kaifanya Ujerumani ya leo kua taifa tajiri zaidi Europe,utawala wa Mao Zedong ndio ulioifanya China ya leo kua hapo ilipo,

Nchi haiwezi kuendelea kwa kubembelezana na kuleana,kuyafikia maendeleo ya kweli ni lazima upate kiongozi shupavu na upitia matatizo kwanza,

Wazungu wamejenga nchi zao kwanza kisha ndio wakaleta demokrasia,wanajua kua Demokrasia na maendeleo ni vitu vinavyopingana na ndio maana wanasimamia demokrasia kwa nchi za Africa coz wanajua huo ndio mtego,

Demokrasia ingekua ni kitu cha kuleta maendeleo ya nchi wala mzungu asingehangaika kuzitaka nchi masikini kufuata demokrasia kwa nguvu na kwa vitisho vya kunyimwa misaada au kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.
 
Abadili nchi ili iwe ya kishamba na kidikteta? No way muache aendelee kuungua na moto huko jehanam
 
Magufuli alikuwa anabadili nchi kutoka kuzuri kwenda kubaya. Na Mungu akamuona kuwa kwa namna alivyoiba uchaguzi wote wa 2020 na kuweka wabunge wa kubadili Katiba ili awe Rais wa milele AKAMTUPILIA Jehanam.

Mwandishi acha kudanganya watu hapa lile dubwasha lilijaa UWONGO na likawapata watu wajinga kama nyinyi mkaliona eti ni shujaa. Magufuli alikuwa MWIZI kama CCM wengineo tu ila alichowazidi wengine ni kwamba alikuwa ANAUA wapinzani na wakosoaji
 
Taasisi? Hizo ni theory za uongo. Dunia hii imejengwa na strong leaders. Hakuna taasisi imara bila kiongozi imara.

China ilijengwa na Mao hakuwa Rais alikuwa party leader ila alikuwa na nguvu zaidi ya serikali. Jifunze ili usishikwe maskio.
Germany, Cuba, Vietnam, India na sehemu kibao walitangulia kwanza viongozi imara ndiyo wakatengeneza taasisi imara kiukweli sisi bado sana kama ulivyosema ili kuendelea hakuna budi kukubali kuumia jambo ambalo sisi hatuwezi. Bado hata mimi kwangu john alikuwa mtu sahihi
 
Akina Magufuli wapo wengi !! Just a matter of time. !! Karma !
 
Roho inaniuma mpaka leo, kila ninapolala ninasikiliza baadhi ya hotuba zake kama Sala yangu. Lala pema JPM.
 
Mkuu maendeleo ya chato yanafanana na kwingine alikofanya maendeleo, alaf wizi wa kura haujaanzia kwa JPM, ilianza tangu enz
 

Siyo kweli unavyosema kuhusu Marekani. Wao walianza na katiba yao ambayo mpaka leo wanayo tangu wapate uhuru. Tena ndiyo kitu cha kwanza waasisi wao walikubaliana nacho. Na vita waliyopigana wenyewe kwa wenyewe ilihusu hiyo hiyo katiba yao.

Halafu naomba kuuliza, nchi gani ya Afrika imeendelea baada ya wenyewe kwa wenyewe kufyekana? Sana sana baada ya kuchinjana wamerudi nyuma kimaendeleo au wameanza upya tena.
 
Script hizi mnaandikiwa lakini upeo wenu mdogo sana, mngekubali kujifunza mngeuliza maswali niwafafanulie kila kitu.

Nimeandika vitu vya watu wenye upeo only. Si kila mtu ataelewa
Umeandika utumbo na pumba tu. Pelekea nguruwe zizini
 
Sasa tutaendeleaje ikiwa wanatulazimisha kufata takataka zao zinazoitwa democrasia? Usipofata huo upuuzi wao kuna vikwazo na ujinga ujinga mwingi.

Tunachokisema hapa Africa inapaswa kupata viongozi wenye misimamo wasioyumbishwa na mabeberu,, najua watafanya fitna na upuuzi mwingi kutukwamisha ila ni jambo la muda tutatoka ktk utegemezi wao.

Tunapaswa kuwa na rais mwenye misimamo mikali na mzalendo na tumpe muda sio kufanya upuuzi wa demokrasia.

Pia tunapswa kuwafyekelea mbali vibaraka na wanoko wote nchini bila kuangalia sura ya mtu maaan hawa ndo wanaotumika zaid na adui.
 
Nchi inabadilishwa na katiba Bora sio Rais.
Unaifahamu Katiba ya Israel au Katiba ya UK au Canada ? Msikaririshane kwamba Katiba mpya ndio suluhu ya Matatizo yenu. Hizi porojo za Katiba mpya ni za manufaa ya wanasiasa tu.
 
Wachache sana ndio wataelewa, hakuna nchi iliyoendelea duniani kupitia Ujinga unaoitwa Democracy.
 

Hiyo demokrasia unayoikataa lini tulikuwa nayo? Tangu nchi ipate uhuru hakuna demokrasia. Halafu nchi hii imepata marais 6 tangu ipate uhuru na kuna waliokuwa wakali lakini bado nchi iko hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…