Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

Nakazia hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Kuibadilisha nchi kwa kupiga kamba?🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
nchi hii imejaa malaya malaya wanaopenda dezo dezo,wameenda shule lakini elimu hazijawasaidia.

mtu anakwambia tunahitaji demokrasia wakati huu nchi iko matopeni.
Malaya malaya na Chawa ndio wanatangulizwa ku push agenda za Democracy, hata ukiwauliza demokrasia ni nini wanabaki kutoa macho tu, ushenzi mtupu.
 
Malaya malaya na Chawa ndio wanatangulizwa ku push agenda za Democracy, hata ukiwauliza demokrasia ni nini wanabaki kutoa macho tu, ushenzi mtupu.

Hiyo demokrasia unayoikataa lini tulikuwa nayo? Nyerere alikataa demokrasia tangu nchi ipate uhuru. Kuikataa demokrasia kumetusaidia nini?
 
Kiongozi mi nadhani ni vyema kuwaza mara mbili ili upate kung'amua kilichoelezwa.

Taasisi imara inajengwa na kiongozi/mtu mmoja mwenye uimara au maono yenye tija na mwenye uwezo wa kuyasimamia maono yake.

Swala la nchi kukombolewa na wananchi wenyewe sijui umemaanisha nn, Kiongozi mf Magufuli kwani hakuwa mwananchi?

Tufanye nimeelewa point yako japo hujaiweka vzr, Swala la nchi kukombolewa au kubadilishwa na wananchi wenyewe....Hivi ni kweli umemaanisha ulicho kiandika?...ni wananchi hawahawa waliojaa mtaani na mawazo hayahaya walionayo?

Ukitizama vzr utagundua tu idadi kubwa ya wananchi hawana uelewa na wala hawako interested na maswala ya harakati za utambuzi wa nchi yao, kila mmoja yuko bzy kupambania tumbo lake.....sasa hao unaowazungumzia ww ni wepi?

Mi nadhani suruhisho zuri ili tutoboe japo hata kwa hatua ndongo tu, itatulazim tupambanie wananchi wapate elim, haswa elim ya uzalendo na kuitambua nchi ili idadi kubwa tuzungumze lugha moja...
.
Ukitaka kuona umuhim wa hili ni palepale tu kwa Magu alipokuwa madarakani "Palikuwa na mpasuko mkubwa wa jamii kutoelewa umuhim wa alichokuwa anakifanya, wengi tuliyumbishwa sana na maneno ya wanasiasa waliopinga ule utawala"......naamini kama wananchi wangekuwa na elim ya uzalendo na kuitambua nchi au siasa za nchi bas mwamba angelindwa kama dhaha/Lulu ya taifa.

Nashauri tusifunge fikra zetu kwa kutokupokea mawazo mapya au kwa kutojifunza mambo ya nche yetu na ya ulimwengu kwaujumla wake.
gigabyte

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Taasisi? Hizo ni theory za uongo. Dunia hii imejengwa na strong leaders. Hakuna taasisi imara bila kiongozi imara.

China ilijengwa na Mao hakuwa Rais alikuwa party leader ila alikuwa na nguvu zaidi ya serikali. Jifunze ili usishikwe maskio.
Unaelewa maana ya taasisi imara au unasikia tu.Taasisi imara maana yake ni mifumo ya kumulika na kuthibiti uovu.Hakuna nchi inayoweza Kupiga hatua bila taasisi imara.Usichanganye Demokrasia na taasisi imara.Tunahitaji jeshi la polisi lisiloenda kwa mazoea,Takukuru inayofanya kazi kwa weledi sio kwa manufaa binafsi etc.Nchi kama uingereza hata ukimtoa waziri mkuu Leo nchi haipati shida kwa sababu wanataasisi imara haziyumbi zinajua kujiongoza.
 
Angola na Rwanda
 
Kwani taasisi/mifumo imara inajengwa na malaika?

Chochote unacho kiona wewe imara kilianza kwa mtu imara,then kupigia huyo mtu wengine wakajifunza kupitia kwake na kuishi vision na misimamo yake na ndio China tunayo iona leo,ilianzia kwa Mao.
 
Kwamba hatokei mwingine, hapo unafeli kimawazo!
Tanzania Ina watu!

Chamsingi tuendelee kumuomba Mungu, watu wa kaliba ya JPM wajitokeze kwenye siasa!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Fact
 
Unawapataje hao viongozi wenye msimamo bila demokrasia? Kama mnadhani Magufuli alikuwa kiongozi mwenye msimamo au kiongozi mwenye nguvu, basi alipaswa aje kwa kupindua Serikali kama Museveni au Kagame.

Haiwezekani tukulete kwa sanduku la kura halafu uanze kujitapa kuwa eti wewe ndiyo mwenye upeo wa kuongoza peke yako na bila wewe barabara na miundombinu hazijengwi. Huo ni UKICHAA tu, lazima tukutoe
 
Magufuli kuwa Rais ilikuwa kama bahati tu system haikuwa na namna kutokana na siasa za wakati huo.
 
Kumbe NI KWA mtazamo wako?uko Sawa.
 
Huwezi kuibadilisha nchi bila transparency....sahz DR. SSH ndo anaibadilisha nchi kwa uwazi kabisa kila hatua wananchi tunashirikishwa
 
Mwendazake Ni mharibifu na looser
Ata Hitler aliibomoa Ujerumani ili aijenge upya!
Hakuna taifa lililoendelea kwa kucheka na vibaka,watu wanaiba fedha za umma Rais anasema STUPID then mambo yameisha!!alafu tunataka kuendelea!!
 
Si kweli..upeo wako wakufikilia ni mdogo sana..unauwakika gani? Unajuaa alichofanya Nyerere katka hii nchi ni makubwa jee unajuaa Rais atayekuja baada baadaee miakq michachee ijayo..au kipindi mwanao akianza kupiga...labda usemaa wewe binafsi ndio raisi wako bora Magufuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…