Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

Hata mwaka jana alijenga. Janet alikuwepo ila wewe hukuwepo
 
Kwahiyo kwanini yeye hakutakua uzi
Mbona hakufanya uzinduzi wa Ikulu , hahahahahahahaha yaani mnadhani mradi wa Chamwino ni mpya ...Sukuma gang bana
 
Sukuma Gang wacheni kubweka bweka kama mbwakoko,Ikulu imejengwa kwa kodi zetu.
Unaongea kama zezeta fulani hivi linalobwia unga. Kwani wakati wa fisadi Kikwete mlikuwa hamlipi kodi? Mbona hazikujenga chochote cha maana zaidi ya kuheweshwa na kutafunwa na akina membe?
 
Duh ....creche Kazini...unajuwa maana kodi wewe?
 
Naomba kuuliza kiasi Cha fedha kilichotumika kujenga hiyo Ikulu ni rais gani ameshughulika Hadi fedha zikapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…