Magufuli ni Rais muoga haijawahi tokea katika nchi hii

"Ashasembeko"; I have to remember that name. How can one be more honest than this!
 


Ndugu yangu umefafanua vizuri sana........ mimi nilianza kumshangaa kwa siku aliyosema hakuna siasa mpka 2020 uchaguzi umeisha. juzi Zitto alisema vema sana mno, kwamba kwa kile inachoendelea watu huwa walikuwa wanakwenda wanalipuka kwenye mikutano y akisiasa na hapo inakuwa imesha sasa hivi hawezi kujua mioyoni mwa watu kuna nini? Hili jambo ni pana sana sema mtu hawezi elewa wa uelewa wa kawaida
 
MHESHIMIWA LICE
ulivamia bureau zetu sisi wa kaskazini na kuzipora dolari..
Hukuishia hapo ukazifunga !
Mheshimiwa LICE why only us from North ?
Si Mwanza pale napo zipo ?
Ivi uliposema Kaskazini tukae chonjo kwenye maendeleo, ulitaka tuamini zile tuhuma kwamba una mpango wa siri wa kulidhoofisha jiji la Arusha na kwamba ulijenga uwanja wa chatu ili kuzihamishia shughuli za msingi za kitalii huko pamoja na mwanza ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 



ON & OFF, and no middle ground!!?, 😁😁😁
 
h
HAWEZI KUMSHINDA MABUTU SESESEKO NGWENDU KUKU WA ZABANGA,
 
Thanks for knowledge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uandishi wake Huyu huenda ni waziri au MTU muhimu ndani ya selikari ya jiwe, kwa hisia alioonyesha atakwa 'ke'
 
What about simu au nayo vivyo hivyo
 
Kwa nini unamlaumu Raisi Magufuli kwa Maswada uliopitishwa na Bunge la JMTZ?

Hivi hata hii demokrasia mnaielewa kweli?
CAG alishamaliza hoja kama yako. Hatuna Bunge, lililopo ni DHAIFU

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 


WELL SAID BRO. CHUO KINASEMA "WATATAZAMA LAKINI HAWATAOAN, TENA WATASIKIA LAKINI MASIKIO YAO YAMEZIBWA..."
 
wewe ni Kiongozi ambae ungeweza kuwa zaidi ya Nyerere but you ruined it.
!!
It's not necessary, the man has only been there for 3 years, he has 7 years to go (if he will), hivyo he still have all the time to be the best.

Kwa sisi tuliopitia kidogo psychoanalysis, ukiona mwanamke ana wivu sana ujue anapenda sana.
Mwanaume akiwa ana wivu sana, ni dalili ya insecurity.

Ukiona mtu anatembea peke yake usiku mkubwa gizani huku anaimba kwa sauti kubwa, ujue huyo ni muoga.

Ukiona kiongozi ana sema sema sana, anaongea ongea sana, ujue huyo ni kiongozi wa maneno marefu na matendo mafupi.

Ukiona mtu ni mkali sana, anapenda kugomba gomba, huku anatoa macho na maneno makali, huyo ni mtu wa fire in his eyes ujue the fear is a weapon on his heart.

Kwa rais Magufuli, kama ulivyo sema alianza vizuri, hapa katikati ni kipindi cha marekebisho kunyoosha vyuma vyenye kutu vilivyo pinda, lazima kutakuwa na maumivu, ila mwisho wa siku, atamaliza vizuri.

Nisome hapa

Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!. - JamiiForums
P
 
kuna kipindi bunge lilipitisha kila mwananchi alipie lain yake ya 1000 kila mwezi. kama ni mtanzania utakumbuka tulipiga kelele mpaka sheria hiyo ikaondolewa. kikokotoo kilipita bungeni kama ww sio mgen unajua kilichotokea. ww ni nani hadi huamin kwamba bunge hukosea????????
 
Naheshimu mawazo yako.
Hakuna dalili yoyote ya raisi kuibadilisha nchi kwenda chanya maana siku zote anatengeneza matatizo badala ya kutatua matatizo.
Huwezi leta maendeleo nchini huku raia wana masononeko nawe. Raisi hadi sasa amefeli pakubwa mno. Tupo wote humu alikuwa anajenga nchi badala ya taifa lakini kwa sasa hata ujenzi wa nchi unamshinda.
Hebu jiulize ni kitu gani anachokifanya kipya ambacho hakikuwahi kufanywa na serikali hii kisha kikaharibiwa.
Anafufua viwanda vilikuwepo vikauawa na serikali hii ya ccm.
Shirika la ATCL lilikuwepo likauawa na ccm hii hii
Chanzo kikuu ni katiba isiyoheshimiwa.Serikali ya ccm imeshindwa kuheshimu hata hii katiba mbovu ndo itaweza kuleta mpya.
Kwanza elewa kuwa hajanyoosha chuma hata kimoja ila kawanyoosha wasiomuunga mkono tu. Wateule wake hawana ubavu wa kujibu hata swali jepesi kwa kuwa serikali ipo kiuongo na uongo haubebeki.Imagine balozi masilingi alivyoumbua nchi huko majuu.
Anaulizwa ikiwa TL angekufa uchunguzi usingefanyika yeye anajibu huyu anaitukana serikali na kuichafua nchi yaani vitu viwili tofauti.
Wewe hayo mawazo ni yako ila binafsi siyakubali maana ukweli hujibeba.
Huwezi kumfufua mfu aliyekufa kwa kipindupindu huku alishajiapiza enzi za uhai wake kuwa uchafu hatouacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ile imelenga kuwadhibiti wajasiriamali wa siasa. Si uliona 2015?
 
Mkuu huyu nchi imeshamshinda mpaka hapa tu ,ameshafanya makosa mkubwa sana ya kiuchumi na kiutawala ,hana uwezo wa kuyabadilisha ,hana vipaumbele anavyovisimamia Leo viwanda ,kesho manunuzi ya ndege , Yote Tisa ABC tu za uchumi hana ,angalia maamuzi yake kwenye korosho ,maduka ya kubadilisha fedha za kigeni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…