Magufuli ni Rais muoga haijawahi tokea katika nchi hii

Magufuli ni Rais muoga haijawahi tokea katika nchi hii

Mkuu umetoa ukweli mchungu sana!

Huko PM usikubali kumpa mtu namba yako ya simu,wala usikae u-reveal your identity to anyone humu!

Pia kuna watu watajifanya mademu watakufuata kua wanakupenda wataomba mawasiliano yako,usitoe kabisa!

Na pia,usijibu even their PMs.

Ignore them 100%!

Serikali oga sana hii,watajifanya wanatumia honey pot kukutafuta,they are stupid to the core!
Huu nao ni woga. Ni vgumu sana taifa kupata maendeleo kama tuta-practice woga wa kiwango hiki. Akina Socrates na Aristotle wangeamua kuwa waoga usingepata fursa ya kusoma falsafa zao. When you are truthful, there is nothing to fear.
 
Kwani ni kifungu gani cha Katiba ya JMTZ Raisi wa JMTZ alichovunja kwenye kupitishwa kwa huo Mswada?
We baki hapo ukijaribu kupotosha wasiojua kuwa kwa sasa kiutendaji jiwe ndiye mmiliki wa bunge, mahakama, jeshi lote na wizara zote. Kama hujui hilo una bahati mbaya, na kama unajua basi we ni mpiga propaganda za kivuvuzela kama zile za uvccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao CCM wanaamini kwamba wataongoza milele. Hawaamini kwamba akili za wananchi inaadilika kutokana na kizazi, wanayoyaona yanafaa leo huenda yasifae miaka 10 ijayo. Hilo wao hawalioni ndio sababu wanapitisha takataka nyingi sana bungeni kwa sababu ya wingi wao. Haimannishi kwamba natete kila wanachopinga wapinzani, nao kuna mahali wanakosea sana tu. Wengi wape, lakini wachache wasikilizwe. Kumbuka ya mchakato wa katiba, nani walipinga katiba ya tume ya Warioba?
CCM wamejichukulia madaraka ya kudumu,haya mambo ya chaguzi ni geresha tu ili wasikose pesa za misaada kutoka nchi za nje.
Hakuna siku CCM wataweka mazingira ya kupokonywa utawala,na wala hawatatengeza katiba huru,NEVER.
Wanajua udhahifu wa wananchi,wanatumia njia hiyo,na walishasema bila aibu kuwa watatutawala miaka 1000.Labda iwatokee zahama au kiama.
 
We baki hapo ukijaribu kupotosha wasiojua kuwa kwa sasa kiutendaji jiwe ndiye mmiliki wa bunge, mahakama, jeshi lote na wizara zote. Kama hujui hilo una bahati mbaya, na kama unajua basi we ni mpiga propaganda za kivuvuzela kama zile za uvccm.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwani ni lini iliwahi kuwa tofauti? I mean ni lini Bunge la JMTZ lililo chini ya CCM liliwahi kukataa kupitisha Mswada ulioletwa na Serikali ya CCM?
 
Sawa mm ni mpumbavu ila wewe mwenye hekima umeshindwa kujielewa n kutofautisha kati ya jamii moja hafi nyingine. Ulinzi na ujuzi wa sweden utaulinganisha na wa Tz? Ustaarab wao na maendeleo yao yanafanana na ya Tz? Ndo maana nimekuambia acha kukariri maisha.

Basic needs duniani kote nearly the same!

We are all human beings!

U are talking about hekima?Really?Kwanini usianze na boss wenu about hekima?

Kwahiyo ustaarabu wa kibinadamu unaangalia nchi ipo sehemu gani?Au rangi za watu wake?Really?

Nikariri maisha?

Unataka nikariri nini?Ahadi za mwana CCM?

You people are indubital mental small heads!
 
Basic needs duniani kote nearly the same!

We are all human beings!

U are talking about hekima?Really?Kwanini usianze na boss wenu about hekima?

Kwahiyo ustaarabu wa kibinadamu unaangalia nchi ipo sehemu gani?Au rangi za watu wake?Really?

Nikariri maisha?

Unataka nikariri nini?Ahadi za mwana CCM?

You people are indubital mental small heads!
Safi sana mzee wa Campton
Uzi huu mm kuchangia nitapigwa ban tu
Ila naona mnawapelekesha kijani humu mpk basi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu nao ni woga. Ni vgumu sana taifa kupata maendeleo kama tuta-practice woga wa kiwango hiki. Akina Socrates na Aristotle wangeamua kuwa waoga usingepata fursa ya kusoma falsafa zao. When you are truthful, there is nothing to fear.

Kijuu juu mkuu watu wanaweza kuona upo sawa,ila you are wrong big time!

Ni kama uniambie mtu unaenda vitani bila silaha yoyote,eti ukienda nayo ni "uoga"!

Bro,tunatumia silaha mbali mbali,ndogo ndogo kutokana na uwezo wetu mbalimbali na maarifa mbali mbali tulionayo!

Silaha kama za IP masking,etc ni silaha ndogo ndogo zinatusaidia kupambana na adui,sio uoga wewe!

Ni kwamba even kukushika iwe ni kazi haswa,na then wakikushika sio kwamba ni mteremko,ni royal battle on the court,mzee ni they see me when they see me!

Mkuu,hiyo unayosema wewe ni upumbavu,ni sawa na kwenda vitani bila silaha yoyote,ambayo ni ukichaa itself!
 
Kijuu juu mkuu watu wanaweza kuona upo sawa,ila you are wrong big time!

Ni kama uniambie mtu unaenda vitani bila silaha yoyote,eti ukienda nayo ni "uoga"!

Bro,tunatumia silaha mbali mbali,ndogo ndogo kutokana na uwezo wetu mbalimbali na maarifa mbali mbali tulionayo!

Silaha kama za IP masking,etc ni silaha ndogo ndogo zinatusaidia kupambana na adui,sio uoga wewe!

Ni kwamba even kukushika iwe ni kazi haswa,na then wakikushika sio kwamba ni mteremko,ni royal battle on the court,mzee ni they see me when they see me!

Mkuu,hiyo unayosema wewe ni upumbavu,ni sawa na kwenda vitani bila silaha yoyote,ambayo ni ukichaa itself!
Sasa Uzi unasema kuwa rais Magufuli ni mwoga. Na sisi wa JF huku tunaogopa hata hata IP kudukuliwa, tuna-display woga mara nyingi zaidi ya huyo tunayesema ni mwoga. Kuna tofauti ya woga na "insecure" (sijui kiswahili chake tutasema nini hapa).

Labda tubadili hoja ya uzi, tuseme JPM ni mafia na katili sana, inabidi tujilinde kwa namna yoyote.
 
Vp kwa kunaotumia JF kwa simu za viganjani?

Kwenye simu install VPN tu!

Au kama vipi usi-log in,uwe una-view threads za watu bila ku-comment chochote!

Uwe una comment ukiwa kwenye computer yako ndani ya browser ya Tor tu...otherwise,CCM haichelewi!

JF sio wa kuwaamini kama zamani!
 
Kwa nini unamlaumu Raisi Magufuli kwa Maswada uliopitishwa na Bunge la JMTZ?

Hivi hata hii demokrasia mnaielewa kweli?

Hilo bunge ni viazi tu, huo muswaada ulienda kupata uhalali wa kisheria tu lakini kila kitu jiwe alishaamua.
 
Akili kama za kuku,
mnasahau juzi tu. mlikuwa mnamtuhumu kuwa Kikwete dhaifu na kuwa ilipofikia inahitaji kiongozi dictotor kwa sababu mambo yalikuwa hayaendi.
Ame dictate kidogo tu mkaanza kumzomea kuwa ni dictotor uchwara, hata hajaongeza mbinyo hata kidogo mmeanza kulia lia.
Hiyo mnaiita democracy muda wake bado sana kufanya kazi kwa nchi zinazoendelea, hadi sasa sioni sehemu amekosea anachofanya sasa ni kuwaokoa na kutumia nguvu ili mdhibitiwe na sheria.
Kiongozi anahitaji kukosolewa kwa sababu na yeye ni binadamu lakini anahitaji utulivu ili kufanya maamuzi.
Vipaumbele vyetu viko tofauti sana ukitaka kila kitu kwa kadri ndio hautakaa usogee ndio ameelekeza vipaumbele vya taifa kwenye mambo makubwa machache ambayo hamtaki pia vile anayatekeleza, ni ujinga mtupu kuamini Zito na wenzake wanapigania maslahi yako kabla ya ya kwao.
 
Akili kama za kuku,
mnasahau juzi tu. mlikuwa mnamtuhumu kuwa Kikwete dhaifu na kuwa ilipofikia inahitaji kiongozi dictotor kwa sababu mambo yalikuwa hayaendi.
Wewe ni punguani kwa hoja mavi namna hii!

Yaani unataka kutuambia ni heri mimi nimefanya dhambi ya kuua mwanamke kuliko wewe uliefanya dhambi ya kuua mwanaume?

Dhambi ni dhambi,ubaya ni ubaya,ubaya galoni moja na ubaya pipa wote ni ubaya ana hautakiwi wote kwa pamoja!

Usilete upumbavu wa kusema eti kwavile huyu kafanya dhambi A basi wewe una haki ya kufanya dhambi B...

Punguani kabisa!
 
Ame dictate kidogo tu mkaanza kumzomea kuwa ni dictotor uchwara, hata hajaongeza mbinyo hata kidogo mmeanza kulia lia.

Sasa hivi wewe ulivyo kiazi unaona ni haki kufanya udikteta kuumiza wananchi kwavile ni rais?

Unatawala wanadamu wenye nyama na damu,huwezi waumiza kama unatawala mawe wewe!

Eti "ame-dictate kidogo" as if udikteta ni halali vile?

Udikteta ni udhalimu...Na udhalimu unatakiwa upingwe na wanadamu wote wenye common decency na utu!

Hivi lini nyie watu mtaelewa maana ya hii dunia na wanadamu wanaishi vipi bila kuumizana?

Lead watu,watawale inavyotakiwa na sheria ulizowekewa......

With all these,kuna price mtalipa,any choice you make or do there are consequences,either good or bad,jiandae to live with them!

They are coming!
 
Ashasembeko umeandika kwa hisia sana, ila tunakoelekea Mungu ndio anajua, kwanza Jeshi, puli bunge na juzi tumehitimisha na juma wa mahakama tunamaliza na msajili then tunapeleka muswada wa kuongeza muda wa urahisi , tunaondoa ukomo maana sioni kama kuna mtu atakuja kuziweza changamoto zilizopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na alisema kama yeye hataweza zitatua hakuna atakayeweza...inamaanisha tutakuja daiwa muda kwa kisingizio kuwa haukumtosha kutekeleza
 
Alianza vizuri na bado anaendelea vizuri tu kwan unadhan kwanini kama muswada sio wa haki mbona umepitishwa na bunge, wewe ni nani ulione bunge halina akili kuukubali na kuupitishwa muswada huo?? na by the way everyoneis still in love with him ( am talking about people who are not delusional)
Hata sheria mbovu za madini zilipitishwa na bunge hivyohivyo. Bunge letu ni dhaifu kwa sababu ya unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais ukiachia mbali udhaifu pia IQ yake ktk masuala mtambuka pia inatia mashaka! Tuache utani jamani Rais wa awamu hii ukiachilia mbali udhaifu alionae hadi uongozi wake ni Jeshi,mahakama,Bunge na Maafisa usalama aliowajaza mie naamini mwisho wake ni mbaya sana maana kwanza kuna Bomu la Ajira hili pekee linapaswa kumnyima usingizi pili kuna manung'uniko ata ktk watumishi kwa kuvuruga maslahi yao kuanzia madara hadi ongezeko tatu wazazi watu wazima nao wanawafikiria vijana wao ambao wamesoma na wapo makwao Sita wapo watu wanaamini ktk Mungu wa kweli na wao wengi wapo ndani ya majeshi Msiniulize nini namaanisha....Kiufupi Rais ni muoga,dhaifu na anajivisha vazi la ukatili ambalo naamini limeanza kumnyima usingizi hasa ishu ya LISSU kwann uuwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaandika ujumbe huu kwa huzuni sana kwasababu kati ya viongozi ambao nilikuwa ninaamini genuinely wangeweza kuleta mageuzi katika nchi hii Magufuli alikua namba moja.

Nilikua shabiki yake toka alipokua Waziri wa Ujenzi na hata baada ya kuchaguliwa kuwa Rais bado nilimpenda kwa dhati. Ni kiongozi ambae amenifanya niwe na keen interest na maswala ya kisiasa.

Jana nilipatwa na hasira nilipoona kwenye habari kuwa Bunge limepitisha Muswada kandamizi wa vyama vya siasa. Haiitaji rocket science kujua kwamba ule Muswada umeandaliwa kwa dhumuni kubwa la kudhibiti vyama vya upinzani. Hapa ndipo nilidraw the line na kugundua kuwa Magufuli si kiongozi mzuri kama nilivyomdhani.

Nilijiuliza swali la msingi; Kwanini huyu Rais anatumia nguvu nyingi kunyamazisha dissenting voices? Ni kweli kwamba kwenye siasa kuna propaganda, uzushi na uongo mwingi sana lakini hiki hakipaswi kuwa chanzo cha Serikali ya Magufuli kuweweseka.

Utawala wa Mhe. Kikwete, wapinzani walishamiri na kupinga masuala mbalimbali katika Serikali lakini hatukuona utawala wa Kikwete unatumia resources nyingi kucrackdown wapinzani. Si muwaache waongee, kwani ni lazima wasikilizwe.

Hii inadhihirisha kuna mambo mengi yanafichwa ndani ya Serikali ya Magufuli maana haileti maana wewe kuzuia watu wenye mawazo tofauti na yako kuongea.

If anything, this proves that Magufuli ni kiongozi insecure sana. Wapinzani walimsema Kikwete kwamba ni kiongozi dhaifu, ila ukweli mchungu ni kwamba Magufuli ni dhaifu zaidi. Utaona kwa jinsi tu anavyotumia nguvu nyingi katika ulinzi wake. He is the most protected President in our country's history. Amemwaga sana hela kwenye Usalama wa Taifa kwa ajili tu ya ulinzi wake. 80% ya staff wa TISS wamebadilishwa katika uongozi wake na anaweka vijana wadogowadogo wasio na experience wala mafunzo ya kutosha, mwishowe wanaishia kuteka na kutisha watu.

Kwa wakazi wa Kijitonyama wataelewa ni kwa namna gani wanashuhudia miili ya watu iliyotupwa kwenye viroba kila kukicha.

Tusipokuwa makini na kutafuta mbinu za kumdhibiti huyu Rais ambaye anajiiona ni invicible, itakuja kutucost when it is too late.

Najua anatabia ya kusema "pesa zipo" ila Serikali sasa hivi haina pesa. Development partners are pulling out aid and funding of projects kwa sababu ya sheria kandamizi na ukiukwaji wa haki.

Ni kwa sababu hii huoni sikuhizi kwenye speech zake akiwasema vibaya hawa wahisani maana wamemshika pabaya. The government is really broke na hizi sheria kandamizi zinazoendelea kutungwa haziisaidii nchi kabisa.

My advice to the President:

Ulianza vizuri sana mwaka wa kwanza na nusu ya uongozi wako, you were the model of good African leadership and everyone was in love with you. Sijui ni nini kilitokea baada ya hapo sababu wewe ni Kiongozi ambae ungeweza kuwa zaidi ya Nyerere but you ruined it.

Mimi nakushauri uwaachie watu wazungumze bila kuwaekea vikwazo, sio lazima uwasikilize. Huwezi kuongoza kwa kujenga mazingira ya hofu, hata mawaziri wako wanakuogopa.

Umekuwa Waziri wa kila wizara, they cant make decisions sababu wanaogopa jinsi ulivyo unpredictable. Wewe na mpwa wako mmejimilikisha hazina ya nchi, yule Waziri mpango yupo pale kama pambo, hana nguvu kabisa.

Hii nchi ni yetu sote, tuvumiliane. Angalia mfano wa mwezako wa Ethiopia, hata rafiki yako Kagame ameanza badilika. Its the 21st century, the age of the internet, huwezi kuongoza with an iron fist na ukawa successful ipo siku itakucost.

All the best katika majukumu yako!!
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe,chama kama act kijiandae kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom