Tuwekee hizo Act zenye matatizo katika mswaada huo, na jinsi gani zitaleta effects. Pia tuthibitishie ni jinsi gani rais na huyo mpwa wake wameishikilia hazina.
Kama itakupendeza tuambie unamaanisha nini unaposema "rais waache watu wazungumze" kwan kawaziba midomo?? Tundu lissu anaongea, juzi mnyika pale kimara kaongea waz mbele ya rais, zitto na wenzie wameongea huko zanzibar, tena wametoka na azimio. Fafanua hapa
Tukukumbushe tu, hakuna nchi duniani iliendelea kwa misaada na mikopo, kwahyo usiforce nchi ikope au kuendelea kupata misaada, kwanza vya kupewa ni ghali na vinadhalilisha.
Njoo utuambie serikali ifanye nini kwenye kilimo kuongeza productions, serikali ifanye nini kukuza utalii tuongeze kipato, viwanda, teknolojia nk.
Hakuna nchi mtu anaongea bila mipaka, kamuulize snowden wa marekani, si ndo baba yenu wa demokrasia??
La mwisho, Magufuli ni mtu kama wewe atamaliza kipindi chake atasepa, nchi itabaki. Tundu lissu atakufa nchi itabaki, wapo akina nyerere?? Nchi hii upinzani unalegea sana, vyama vyao ni kama vikundi vya wahuni!! Wajanja Wajanja tu, wenyekiti ni wale wale toka tunazaliwa miaka ya 90s
Sent using
Jamii Forums mobile app