Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Amefunguka makubwa, Angefunguka na jinsi alivyouza nyumba za serikali kwa hawara yake Sundi na mdogo wake Musa Magufuri ingependeza sana na jinsi alivyonunua kivuko kibovu kwa bilioni nane.
 
What is this ? Do you even understand this ?
Hata wale wa tafsiri nadhani walikua wanatumia aina hii ya lugha kiasi kwamba wakati umma wa watanzania wakipiga makofi wazungu waliokuwa wamevaa vifaa vya kuwasaidia kuelewa walikua wanshangaa tu kwa sababu hawakuona point ktk maelezo. Hii ikichangiwa na liyekuwa aki fanya interpretation
 
Hao Mawaziri ni Sumaye, Kikwete na Lowassa, mnaficha ficha kitu gani jamani?
 
U
Hao waliompa sumu walifeli vibaya mno. Pale mnakusudia kumuua mtu halafu hafi. Kama tu wale waliofanya kwa Lissu. Hope wao ndo watakaotangulia kufa kabla ya JPM na Lissu.
Tutakupa uhaini unamuombea Rais wako na bashite wafe kabla ya lissu
 

We kilaza haujamwelewa rais
 
..inawezekana ni UONGO.

..I dont believe this guy.
Tuseme ni miaka 20 toka hill tukio la waziri kuwekewa sumu na waziri mwenzake na kwa kupitia kwake hata Rais akajua lakini hakuna hatua ilichukuliwa wala wananchi kujulishwa. Leo, kati ya miaka 20, minne yeye ndo boss lakini kakaa kimya na mbaya wake labda bado yupo anadunda tu mitaani anataka kutuaminisha kuwa kweli hilo lilitokea. Cry wolf to seek cheap popularity!
Ukiwa ndani ya game ndio utajua ukiwa nje mtu unakuta anapiga filimbi hatari
 
kwanini hio sumu haikufanya kazi???? afadhali hio sumu ingemuondoa toka hii dunia, sababu sasa hatungekuwa na hii unyama na ukatili ambao huyu jiwe ameleta hapa kwetu, tundu lissu hangepigwa risasi, ben saa nane na kina azory bado wangekuwa na jamaa zao, afadhali hio sumu ingefanya kazi aki
 
Acha ubishi wewe, huo mwaka ulioandikwa hapo juu Mkapa alikuwa Rais?
 
Yasadikiwa alipigwa na Piemu wa wakati huo, sababu kubwa iliyodhaniwa ni harakati za urais 2005. Alienda tibiwa nje ya nchi fasta kwa ndege ya dharura.
Hapana, ni wale BOYS TWO MEN.. Wale walikuwa mapacha hatari sana. Sijui unaweza kuwafananisha na nani tu, huko kwenye mambo ya mipira yenu na michezo ya kubet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…