Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Amefunguka makubwa, Angefunguka na jinsi alivyouza nyumba za serikali kwa hawara yake Sundi na mdogo wake Musa Magufuri ingependeza sana na jinsi alivyonunua kivuko kibovu kwa bilioni nane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh ina maana wanaccm wanapeana sumu?Ye,Mungu alimlinda mja wake,Kwasababu alikuwa na maono juu yake
muuaji yupi?Muuaji kumbe nae muoga kuuliwa?
Hata wale wa tafsiri nadhani walikua wanatumia aina hii ya lugha kiasi kwamba wakati umma wa watanzania wakipiga makofi wazungu waliokuwa wamevaa vifaa vya kuwasaidia kuelewa walikua wanshangaa tu kwa sababu hawakuona point ktk maelezo. Hii ikichangiwa na liyekuwa aki fanya interpretationWhat is this ? Do you even understand this ?
Kitabu hiki kimejaa mipango ya kuleta maendeleo nchini...kila mzalendo akakinunueYes Tumpongeze Mkuu
Kuandika kitabu sio kitu kidogo
Huku yeye mwenyewe Jiwe akiwa suspect namba moja.Mbona wengine wanashambuliwa kwa Risasi 38 halafu hakuna uchunguzi?
Kitabu hiki kimejaa mipango ya kuleta maendeleo nchini...kila mzalendo akakinunue
Magu, usijifanye haujui.muuaji yupi?
She is that is why she accepted to be impregnated by a gaymy mum is not a fool like yours.back to the topic!!
muuaji yupi?
Hao Mawaziri ni Sumaye, Kikwete na Lowassa, mnaficha ficha kitu gani jamani?Rais Magufuli ktk uzinduzi wa kitabu cha Mzee Ben, alimwaga ubuyu. Anadai Mzee Ben alimsifu kuwa yeye ni Askari wa miavuli namba moja. Sasa akadai kuna mawaziri wa ngazi za juu kabisa walimwonea wivu na kuanza kumuangalia vibaya.
Ni kina nanai hawa kwa wafuatiliaji siasa za zama zile. Usitaje jina, taja wizara tu.
Please Mods: Isomeke Hawa mawaziri.
Tutakupa uhaini unamuombea Rais wako na bashite wafe kabla ya lissuHao waliompa sumu walifeli vibaya mno. Pale mnakusudia kumuua mtu halafu hafi. Kama tu wale waliofanya kwa Lissu. Hope wao ndo watakaotangulia kufa kabla ya JPM na Lissu.
ILA TUACHE UTANI. TANZANIA KUNA AMANI SANA. RAIS WA NCHI ANANYWESHWA SUMU HALAFU HATA JALADA HALIFUNGULIWI POLISI.
MAAJABU ZAIDI HUYO ALIYENYWESHWA SUMU ANAWAJUA MPAKA WALIOMNYWESHA HIYO SUMU LAKINI ANAAMUA KUMEZEA TU..
MAASKARI NAO WANASIKIA HIZO TUHUMA WALA.HAWAJIGUSI KUANZISHA UPELELEZI.
AMANI IMETAMALAKI KAMA PEPONI.
Tuseme ni miaka 20 toka hill tukio la waziri kuwekewa sumu na waziri mwenzake na kwa kupitia kwake hata Rais akajua lakini hakuna hatua ilichukuliwa wala wananchi kujulishwa. Leo, kati ya miaka 20, minne yeye ndo boss lakini kakaa kimya na mbaya wake labda bado yupo anadunda tu mitaani anataka kutuaminisha kuwa kweli hilo lilitokea. Cry wolf to seek cheap popularity!..inawezekana ni UONGO.
..I dont believe this guy.
Ukiwa ndani ya game ndio utajua ukiwa nje mtu unakuta anapiga filimbi hatari
Acha ubishi wewe, huo mwaka ulioandikwa hapo juu Mkapa alikuwa Rais?[IMG alt="Kawe [ATTACH type="full"]1261670[/ATTACH]
[B][USER=571458]Kawe Alumni
JF-Expert Member[/B]
Joined Mar 20, 2019
3,982
2,000![]()
wewe umeingia juzi tu hapa JF labda una yako kwa kubadili ID
km hujatumwa basi alisafirishwa nje na akatibiwa ,Tafuta post za Mwanakijiji
hajawahi kuugua tena zaidi ya pale Bungeni
post ya
Magufuli augua ghafla, alazwa
- Thread starternyasaland
- Start dateApr 18, 2012
Uko sahihi huyu mzee huwa ni muongo haijapata kutokea..inawezekana ni UONGO.
..I dont believe this guy.
Hapana, ni wale BOYS TWO MEN.. Wale walikuwa mapacha hatari sana. Sijui unaweza kuwafananisha na nani tu, huko kwenye mambo ya mipira yenu na michezo ya kubet.Yasadikiwa alipigwa na Piemu wa wakati huo, sababu kubwa iliyodhaniwa ni harakati za urais 2005. Alienda tibiwa nje ya nchi fasta kwa ndege ya dharura.