Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

What is this ? Do you even understand this ?
Hata wale wa tafsiri nadhani walikua wanatumia aina hii ya lugha kiasi kwamba wakati umma wa watanzania wakipiga makofi wazungu waliokuwa wamevaa vifaa vya kuwasaidia kuelewa walikua wanshangaa tu kwa sababu hawakuona point ktk maelezo. Hii ikichangiwa na liyekuwa aki fanya interpretation
 
Rais Magufuli ktk uzinduzi wa kitabu cha Mzee Ben, alimwaga ubuyu. Anadai Mzee Ben alimsifu kuwa yeye ni Askari wa miavuli namba moja. Sasa akadai kuna mawaziri wa ngazi za juu kabisa walimwonea wivu na kuanza kumuangalia vibaya.


Ni kina nanai hawa kwa wafuatiliaji siasa za zama zile. Usitaje jina, taja wizara tu.

Please Mods: Isomeke Hawa mawaziri.
Hao Mawaziri ni Sumaye, Kikwete na Lowassa, mnaficha ficha kitu gani jamani?
 
U
Hao waliompa sumu walifeli vibaya mno. Pale mnakusudia kumuua mtu halafu hafi. Kama tu wale waliofanya kwa Lissu. Hope wao ndo watakaotangulia kufa kabla ya JPM na Lissu.
Tutakupa uhaini unamuombea Rais wako na bashite wafe kabla ya lissu
 
ILA TUACHE UTANI. TANZANIA KUNA AMANI SANA. RAIS WA NCHI ANANYWESHWA SUMU HALAFU HATA JALADA HALIFUNGULIWI POLISI.

MAAJABU ZAIDI HUYO ALIYENYWESHWA SUMU ANAWAJUA MPAKA WALIOMNYWESHA HIYO SUMU LAKINI ANAAMUA KUMEZEA TU..

MAASKARI NAO WANASIKIA HIZO TUHUMA WALA.HAWAJIGUSI KUANZISHA UPELELEZI.

AMANI IMETAMALAKI KAMA PEPONI.

We kilaza haujamwelewa rais
 
..inawezekana ni UONGO.

..I dont believe this guy.
Tuseme ni miaka 20 toka hill tukio la waziri kuwekewa sumu na waziri mwenzake na kwa kupitia kwake hata Rais akajua lakini hakuna hatua ilichukuliwa wala wananchi kujulishwa. Leo, kati ya miaka 20, minne yeye ndo boss lakini kakaa kimya na mbaya wake labda bado yupo anadunda tu mitaani anataka kutuaminisha kuwa kweli hilo lilitokea. Cry wolf to seek cheap popularity!
Ukiwa ndani ya game ndio utajua ukiwa nje mtu unakuta anapiga filimbi hatari
 
kwanini hio sumu haikufanya kazi???? afadhali hio sumu ingemuondoa toka hii dunia, sababu sasa hatungekuwa na hii unyama na ukatili ambao huyu jiwe ameleta hapa kwetu, tundu lissu hangepigwa risasi, ben saa nane na kina azory bado wangekuwa na jamaa zao, afadhali hio sumu ingefanya kazi aki
 
[IMG alt="Kawe [ATTACH type="full"]1261670[/ATTACH]
[B][USER=571458]Kawe Alumni

JF-Expert Member[/B]
Joined Mar 20, 2019
rep.png
3,982
point.png
2,000
wewe umeingia juzi tu hapa JF labda una yako kwa kubadili ID
km hujatumwa basi alisafirishwa nje na akatibiwa ,Tafuta post za Mwanakijiji
hajawahi kuugua tena zaidi ya pale Bungeni
post ya
Magufuli augua ghafla, alazwa
Acha ubishi wewe, huo mwaka ulioandikwa hapo juu Mkapa alikuwa Rais?
 
Yasadikiwa alipigwa na Piemu wa wakati huo, sababu kubwa iliyodhaniwa ni harakati za urais 2005. Alienda tibiwa nje ya nchi fasta kwa ndege ya dharura.
Hapana, ni wale BOYS TWO MEN.. Wale walikuwa mapacha hatari sana. Sijui unaweza kuwafananisha na nani tu, huko kwenye mambo ya mipira yenu na michezo ya kubet.
 
Back
Top Bottom