Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

... mtenda akitendewa? Sababu za kifo chake ziko bayana; Tanzania inajua na dunia inajua. Hakuna sababu ya kupoteza muda na rasilimali za taifa kwa mambo yaliyo wazi.
Kifo cha Magufuli kichunguzwe
 
... mtenda akitendewa? Sababu za kifo chake ziko bayana; Tanzania inajua na dunia inajua. Hakuna sababu ya kupoteza muda na rasilimali za taifa kwa mambo yaliyo wazi.
Kwani watu hawaoni tupo wimbi la nne kuelekea la 🖐️.
 
Kwani yy alikua hatakiwi kufa? Tufe sisi tu. Na bora kaniwai kufa. Cku nikifa nitakua na amani mm na taifa langu kua liko mikono salama kabisa
 
Kikishachunguzwa , ikionekana alifanyiwa hujuma, utamfufua ?
 
Kwani wasukuma si tunakubaliana kwamba jiwe hajafariki? Yupo Ulaya tu kujipanga atarudi...
 
huku nako muenda zake alipewa sumu [emoji848][emoji848][emoji848].
siku ya hukumu Mungu atakuwa na kibarua kizito sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…