Ushindi wa kishindo wamepita bila kupingwa wewe uko wapiKuna issue hii ya uchaguzi wa 2019. Tusiondoshwe ktk mjadala huu kupitia "remote factors". Rais hawezi kulalamika na kutafuta huruma ktk kipindi hiki na kuelekea 2020 kupitia mambo ya kihistoria.
Kama amejirizisha na jambo ni wakati wake wa kutenda ili haki yote ipatikane. Taasisi ya Urais ituambie tumefikia wapi na mchakato wetu wa uchaguzi 2019. Kujaribu kututoa ktk mjadala huu, itakuwa ni kutotendea haki umma wa Watanzania.
Kama alivyomwokoa Tundu LissuYe,Mungu alimlinda mja wake,Kwasababu alikuwa na maono juu yake
Hata mpango wake ulishindwa kuumua lisu amejifunza kituHuu Ndio ukweli wengi wanajifanya janja kumbe wamejifunza kitu fulani
Aliyeweka awe hai bado kweli.Sio uongo, wala hatafuti huruma kwa hili unamuonea mkuu. Uliza wana Dodoma......
Yap Mungu amemponya LissuHapa ndo huwa tunasema when GOD chose you nothing bad will hapen to you
Wewe ni mchaguliwa
am proud of you Sir
Sifahamu lakini wakati ule nakumbuka hapa JF tuliliongelea na alikwenda kutibiwa kwenye one of the Scandinavian countries. Kama sikosei Mzee Mwanakijiji vile vile aliligusia. Lakini hatukujua kama alipewa sumu, hilo linashtusha ndio mfahamu siasa zetu za Tanzania zilivyo. Mwenyezi Mungu atakulinda tu hata kama mafisi yako porini yanakusubiri.
Last time tuliongelea kutoruhusu kila Tom Dick and Harry kutaka kusalimiana na rais, ifike mahali huo mtindo uachwe maana waovu huwa hawana sura. Nimeshangaa leo hata Zito kajitokeza ambaye alivumisha ule udaku wake, the boy is not ashamed? Hivi Wizara ya Mambo ya Ndani imechukua hatua gani? Au walitaka kuchukua hatua akifa? Haya mambo ni lazima sasa yachukuliwe kwa upana na ukubwa wake. As a Country we need to act now.
Wawe salama ili iweje sasa? Maaduiwake wakiwa salama inamaana nayeye bado yuko exposed..tofauti itakuwa ugumu wa penetration.Na Mimi nimeliona hilo na nimetishika sana. Kwa tabia zake tunazofahamu jee kama ni kweli waliofanya hivyo wako salama kweli?
Alikula akazidisha kipimo akavimbewa, akahisi kapewa sumu.Ukute mtu alikula tu kumbikumbi huko wakamdhuru basi alidhani kawekewa sumu
Hata mie nilinyweshwa sumu ya mamba hakika na mimi ni chaguo la MunguKiukweli baada ya kusikiliza maelezo ya Rais Magufuli namna alivyopitia changamoto mbalimbali za kisiasa bila kukata tamaa hadi kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi, mimi Johnthebaptist ninasadiki kuwa kweli huyu ni chaguo la Mungu.
Kwa namna mkono wa Mungu ulivyomlinda katika safari yake ya kisiasa hata kuwalegeza wale wenye nia ovu waliojaribu kumdhuru, mimi ninasadiki huyu ni chaguo la Mungu.
Mungu endelea kumbariki Rais Magufuli
Maendeleo hayana vyama
Amina!
binti kiziwi umeona hapa walitarget moyo, hakika alikuwa na bahati kwelikweli mpenziMagufuli augua ghafla, alazwa
Naomba mnijuze juu ya uvumi wa kuwa waziri wa miundombinu yupo dodoma anaumwa na kuna mdogo wangu kaniambia hilo ====== UPDATE: WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana (Aprili 18, 2012) aliugua ghafla akiwa kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma na kupelekwa katika Hospitali ya Mkoa ambako...www.jamiiforums.com
FYI wewe ndio unasema wema na wabaya. Mwenyezi Mungu wote tupo sawa kwake kwa sababu yeye ndio katuumba wote. Anafahamu dhamira zote ambazo tumeficha mioyoni mwetu.Kama shambulio la Lissu, tena hilo sio la sumu bali risasi, hapo ndio utajua mwenyezi Mungu analinda watu wema hata mafisi wenye madaraka wakitaka kukuua