Ushindi wa kishindo wamepita bila kupingwa wewe uko wapiKuna issue hii ya uchaguzi wa 2019. Tusiondoshwe ktk mjadala huu kupitia "remote factors". Rais hawezi kulalamika na kutafuta huruma ktk kipindi hiki na kuelekea 2020 kupitia mambo ya kihistoria.
Kama amejirizisha na jambo ni wakati wake wa kutenda ili haki yote ipatikane. Taasisi ya Urais ituambie tumefikia wapi na mchakato wetu wa uchaguzi 2019. Kujaribu kututoa ktk mjadala huu, itakuwa ni kutotendea haki umma wa Watanzania.