Magufuli: No more education for girls who fall pregnant while at school.

Hawa wenye naona wanaunga mkono hii sheria sijui wako na akili aina gani.....
 
kuna tofauti kati ya kwenda shule na kuelimika. Pole sana ndugu yangu hakuna anayeweza kukuelimisha
Hivi mkuu ulielimika unaweza simama UN comitte of experts afu ukapresent paper inayoshabikia huu ujinga?? Yaani solution ya mimba ni kufukuza shule???? Really

Nlitegemea wasomi mseme suluhisho kwa vyanzo vya mimba mngesema kila halmashauri ijipange kujenga mabweni ya watoto wa kike ili waepuke vishawishi kwa kusoma mbali na nyumbani pia tatizo la maji mngeshauri liwekwe priority ili wasitumie muda mrefu kutafuta maji hivyo kukumbana na vishawishi pia mambo kma walimu wapewe seminar jinsi ya kuhandle tatizo hili na pia malezi ya wazazi n.k afu msomi unasema tu WATIMULIWE ILI WENGINE WAJIFUNZE

21ST century unajibu hivo??? Mkuu wewe ndio unaelimu makaratasi naamini hta umesoma vitabu vya darasani tu ila u dont update urself with where the world is ryt now...... soma report za kitaalam za UNHCR zinapinga swala hili na ndio maana ccm wakaweka kwenye ilani yao afu wee unakuja tena kutetea hapa je cku ccm wameweka kwenye ilani mbona hamkuja kulalamika kuwa ccm imefanya kosa??? Awamu ijayo wakifuta hiki kipengele mtakuja kusifia????

Mkuu waza upya ur makin a wrong perception kuwa mimba ni chanzo cha wanafunzi wenyewe na suluhishi ni KUKOSA ELIMU
 
Nyie ndo mnavitongoza vibinti vyetu na kuvipa mimba na kuvikimbia mkitegemea tuwalelee watoto wenu. Mmebugi ukimpa wa kwangu kwanza miaka 30 jela inakusubili pamoja na binti wazazi wako ndiyo watamlipia siyo shule za serikali ila za NGO zilizo na madarasa ya wazazi. Aidha nikufahamishe kuwa UNHCR inahangaika na wakimbizi. Sema UN women au UNFPA, WHO na UNICEF! Pole sana endelea kutoa povu ila hawarudi madarasa ya shule za serikali
 
Sawa waweza kejeli tu kuwa sijui tunatongoza vibinti its well and good ila sijui mnatoa wapi hoja ya kushabikia ujinga kma huu mnanishangaza sana yaani mnashabikia watoto kukosa elimu????? Hamtoi suluhisho kuzuia mimba ila mnashabikia kutimua iwe suluhisho duh siamini!!!

Haya basi tufanye nikubalianie na mawazo yako je adhabu ikitekelezwa ssa nkuulize mkuu hivi taifa litafaidika nini na adhabu hii???

Naomba tuanziea hapo
 
Lini wanafunzi waliopata mimba nchini Tanzania waliruhusiwa kuendelea na masomo katika shule walizokuwa kabla?
Magufuli kasema ukweli uliokuwa unatekelezwa na kwamba ataendelea nao. Hajaanzisha utaratibu mpya.
 
Sawa waweza kejeli tu kuwa sijui tunatongoza vibinti its well and good ila sijui mnatoa wapi hoja ya kushabikia ujinga kma huu mnanishangaza sana yaani mnashabikia watoto kukosa elimu????? Hamtoi suluhisho kuzuia mimba ila mnashabikia kutimua iwe suluhisho duh siamini!!!

Haya basi tufanye nikubalianie na mawazo yako je adhabu ikitekelezwa ssa nkuulize mkuu hivi taifa litafaidika nini na adhabu hii???

Naomba tuanziea hapo
Unajua kwanini unawajibika kazini au darasani ni kwa vile unaogopa au kuna maumivu. Bila hivi vitu viwili hakuna uwajibikaji. Hivyo ukicreate fear kwa mtoto wa kike hawezi fanya hiyo kitu. Ndo JPM anavyojaribu kucreate ili watoto wasianze ngono kuogopa kupata ujauzito na mwisho kufukuzwa shule. Aidha wazazi watawakanya watoto wao wasisogelee zinaaa maana kwayo wanaweza kupoteza nafasi ya kusoma bure. Hivi unajua kuwa miaka 5 iliyopita asilimia 21 ya matineja 15-19 walikuwa na watoto au mimba na baada ya miaka mitano wameongezeka na kuwa asilimia 27! Hii inaonyesha kusipochukuliwa hatua kali miaka 10 ijayo mtoto mmoja kati ya wawili 15-19 katika Tanzanta atakuwa ni mama! Acha utani hali ni tete
 
Kwahiyo faida ni kwamba wanafunzi wataogopa ngono si ndio je unaonaje mkaifutilia mbali ARV pia ili tuone mko serious kuhusu ngono??? Je kwanni msitimue pia wanafunzi ambao sio mabikra mpaka mbane kwenye mimba wakati mmi binafsi nlisoma na mabinti walikuwa wanatoa mimba throughout hasa huku mjini huoni mnawaonea wachache

Na je mkuu kwanni adhabu isiwe fine au kulima shamba la shule kwa mwaka mzima ama kupigwa fine yaani iwepo adhabu ya kumnyoosha mwanafunzi ila angalau elimu apate!!!! Tuwe na wanafunzi wenye elimu na nidhamu sio mnamtimua shule anabaki nyumbani kuwa tegemezi na pia ana mtoto hivo tunatengeneza mategemezi laki 2 kila miaka 10 !!! je kwako ni sawa
 
Unajua ukimwi unapatikanaje? Siyo ngono tu ndugu yangu, wengine wanazaliwa nao, wengine kuchomwa na vitu vyenye ncha kali au kuongezewa damu iliyochacha. Mimba lazima dushe liingie katika K tu. Njia ya kufanya ni kuzuia dushe lisikaribie k! Hutaki kukubali acha
 
Khaaaa mkuu mfano mgumu sana huo 😀😀😀
Anyway kwani issue ni mimba au ngono???? Hivyo kma issue ni mimba basi msambaze condom shule zote unaonaje mkuu ila kma issue ni ngono basi mtimue wote wasio mabikra hapo inakuwa better equation kuliko wenye mimba tu huoni mnawaonea

Unaposema ukimwi wengine wanaambukizwa kwa ncha kali je hujui zaidi ya 70% ya wanaobakwa hupata mimba??? Kwanni unalalia upande mmoja tu?? Why serikali isiwe considerate kwa wote wawili

Haya ukimwi 90% ni ngono na wewe unajua hilo je kwanni msizuie ARV ili watu waogope ngono??? Au kwanni msiseme asiye bikra anafingwa miaka 30?? Eti if at all mnataka kuzuia ngono
 
Unatetea kubaka, je ulishabaka kijana wewe na kama jibu ni ndiyo fanya booking segerea mapema. Acha mawazo mgando tumia muda huu kutafuta riziki. Tulikuwa wote
 
Duh ila sikuelewi mbona wwe unadai solution ya mimba ni kutimua na mmi nikasema kuepuka doublstndards basi serikali izuie ARVvili watu waache ngono hivo kurubuniwa kwa wanafunz kutaisha!!

Wewe ukasema hapana sio vzuri kuzuia ARV maana sio wote wanaopata UKIMWI kwa sex wengine sijui wameambukizwa tu kwa njia za bahati mbaya ndio mimi sasa nakujibu kwa kusema kma unaamini kuna watu wamepata UKIMWI kwa bahati mbaya basi amini pia kuna wanafunzi wamapata mimba kwa kubakwa!!!! Saaa kwanni ARV unaelewa ila mimba hutaki kuelewa

Huoni huo undumila kuwili wako???
 
Back
Top Bottom