Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Kila aliyetoa maoni ungemuuliza kama amekula?Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Kumbuka pia kura za hao unaowaita wajinga 2,000 siyo sawa na kura ya mwerevu mmoja!Wewe unafikiri maoni ya wajinga 2,000 ni sawa na yale ya mwerevu mmoja.
Unawaza kura tu badala ya kuwapa ujuzi na maarifa wawe na jamii inayojielewa?Kumbuka pia kura za hao unaowaita wajinga 2,000 siyo sawa na kura ya mwerevu mmoja!
Hahahah[emoji23]Eti umesoma comments zaidi ya 2000 [emoji23]
Nikitaka kuwaza ujuzi na maarifa kwa jamii Magufuli yumo kwenye 5 bora ya taifa, na tundu lisu hayumo hata kwenye 300 ya role model wangu.Unawaza kura tu badala ya kuwapa ujuzi na maarifa wawe na jamii inayojielewa?
Ulichojibu na nilichokushauri ni vitu viwili tofauti.Una changamoto!Nikitaka kuwaza ujuzi na maarifa kwa jamii Magufuli yumo kwenye 5 bora ya taifa, na tundu lisu hayumo hata kwenye 300 ya role model wangu.
Kwani ukipigiwa kura na mwerevu mmoja na ukipigiwa na wajinga 2000 who wins the raceKumbuka pia kura za hao unaowaita wajinga 2,000 siyo sawa na kura ya mwerevu mmoja!
Jibu mbona unalo bwashee!Kwani ukipigiwa kura na mwerevu mmoja na ukipigiwa na wajinga 2000 who wins the race
Kura ni kura ata kama ya mjinga😀😀Jibu mbona unalo bwashee!
Haaminiki huyo.Alikuwa anatafuta vibonzo.Kwa akili zake asingeweza kuhesabu hayo maoni.Eti umesoma comments zaidi ya 2000 😂
Huo ndio ukweli wenyewe. Kuna mizezeta fulani humu hailioni hilo, inarusha mitusi kuwatukana watu bila kujua kuwa hao watu ndio wapiga kura wakati wa uchaguzi!Kura ni kura ata kama ya mjinga😀😀
Kuna muda idadi ndo inamata sio ujuzi
Nami niwashauri CDM kama hawatamshauri Lissu kubadili upepo,wategemee anguko kubwa sana 2025.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Kila siku anguko-anguko!Hivi tangu mmeanza kutabiri mbona hiyo CDM haifi?Tabiri zenu za vichaa hizo.Fanyeni mengine.Nami niwashauri CDM kama hawatamshauri Lissu kubadili upepo,wategemee anguko kubwa sana 2025.
Kitu cha kujifunza ni kwamba Magu ameishafariki na watawala wa sasa wamejinasibu kuwa kinyume na sera zake,kwa hiyo kuendelea kumnanga marehemu asiyeweza kukujibu wala kujitetea kwa yale unayomsema
ni sawa na wewe kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa waliokufa ilihali bado uko kwenye ulimwengu wa walio hai,
Hii inakusababishia sera zako kuwa mfu.unachokwa na kusahaulika kama marehemu.
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.