Magufuli 'oil chafu' ukiigusa unachafuka mwenyewe

Kura zina maana gani kama washindani wako wanaeunguliwa na unapita bila kupingwa??
Huo ndio ukweli wenyewe. Kuna mizezeta fulani humu hailioni hilo, inarusha mitusi kuwatukana watu bila kujua kuwa hao watu ndio wapiga kura wakati wa uchaguzi!
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Weka na sie tusione hizo comments., nasisitiza hata wapumbavu Huwa Wana mpumbavu wao wanayemuona ni WA maana..

By the way only fools ndio walikuwa wafuasi wake gaining nothing but hakuna mtu mmja mwenye akili alikuwa mfuasi wa Mwendazake hayupo.
 
Nami niwashauri CDM kama hawatamshauri Lissu kubadili upepo,wategemee anguko kubwa sana 2025.
Kitu cha kujifunza ni kwamba Magu ameishafariki na watawala wa sasa wamejinasibu kuwa kinyume na sera zake,kwa hiyo kuendelea kumnanga marehemu asiyeweza kukujibu wala kujitetea kwa yale unayomsema
ni sawa na wewe kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa waliokufa ilihali bado uko kwenye ulimwengu wa walio hai,
Hii inakusababishia sera zako kuwa mfu.unachokwa na kusahaulika kama marehemu.
Kwani lisu ndiyo chadema ujui chadema ni taasisi makini hapa Tanzania kichwa kimoja Cha mwanachadema ni sawa na ccm 10,000 usingesema haya ya lisu
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Ni kwamba hata wangekuwa wapumbavu laki moja bado siyo kitu kwa mwerevu mmoja
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Watapambana lakini hawatashinda.

Imagine mfu anapambana na walio hai na bado anawashinda, je angekuwa hai
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
hilo linajulikana.
 
Oil chafu? Hapa humsifii, unamdhalilisha kijanja.
 
Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza. Mithali 10:6.
Jina la JPM, litaendelea ku trend vizazi vingi vijavyo. Ninyi badala ya kufanya kazi, endeleeni kulalamika tu ndicho mtakacho vuna. Watanzania sio wajinga.
Jina la muovu litasemwa milele na milele, Jiwe alikuwa laana kwa Taifa
 
Kusema kwamba hao watu 2000 hawamo hata 100 tuone walivomshukia lissu
Ukiwa kijani lazima uwe alau nusu chizi hivi
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
we ni poyoyo tu na uwongo wako huo. Tumesoma hizo comments ni kinyume na uliyoyaleta humu. Km unampenda sana kamfute alipo, yule ni katili muuaji hakuna wa kumtetea we ni poyoyo tu.
 
Nikitaka kuwaza ujuzi na maarifa kwa jamii Magufuli yumo kwenye 5 bora ya taifa, na tundu lisu hayumo hata kwenye 300 ya role model wangu.
Mkuu hasi na chanya hazichangamani, sasa mtu kama wewe Mh. Lissu anawezaje kuwa role model wako? Wewe ni Sukuma gang so mtu kama Ndungai ndiyo anakufaa
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.

Comment hii ya 15 uliiruka?

'Hangover' ya propaganda za utawala wa Magufuli zitadumu kwa baadhi ya watu milele
 
Nami niwashauri CDM kama hawatamshauri Lissu kubadili upepo,wategemee anguko kubwa sana 2025.
Kitu cha kujifunza ni kwamba Magu ameishafariki na watawala wa sasa wamejinasibu kuwa kinyume na sera zake,kwa hiyo kuendelea kumnanga marehemu asiyeweza kukujibu wala kujitetea kwa yale unayomsema
ni sawa na wewe kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa waliokufa ilihali bado uko kwenye ulimwengu wa walio hai,
Hii inakusababishia sera zako kuwa mfu.unachokwa na kusahaulika kama marehemu.
Yaani utende uovu ukiamini kuwa ukifa watu watasahau haraka tu, Jiwe itachukuwa milele watu kusahau maovu yake
 
Walitaka kuuza eneo lote la Oysterbay polisi kuanzia Namanga mpaka Morocco mpaka ubalozi wa Marekani halafu pakishajengwa warudi kama mpangaji wa kipande kidogo cha ofisi. Mwekezaji mwenyewe business plan yake achukue mkopo kutumia collateral ya kiwanja hicho hicho cha polisi!

JPM akawaambia polisi are you freaking imbecilles ? Mnawezaje kujiuza na kuuza nchi yenu kipumbavu namna hiyo?

Meanwhile, nobody in the nation since Nyerere's era saw anything wrong with such state auctioneering. 60 million people but nobody else!

Ingekuja leo hiyo proposal ingepita. Atakumbukwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakumbukwa na watu dizain yako
 
Back
Top Bottom