Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Magufuli alikuwa anapendwa na wanyonge masikini, wenye akili za kimasikini na watu wanaotaka kubakia kuwa masikini, akili za kimasikini na kuwa wanyonge.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Watu wa aina hii wapo wengi sana.