Magufuli 'oil chafu' ukiigusa unachafuka mwenyewe

Magufuli 'oil chafu' ukiigusa unachafuka mwenyewe

Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Magumashi limeshaliwa na funza huko msitupigie kelele
 
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi
 
Back
Top Bottom