Magufuli 'oil chafu' ukiigusa unachafuka mwenyewe

Muovu kukushinda wewe unaefanya madhambi yako na bado unasemea uongo kuhukumu mtu ambaye unamjua kwa njia ya picha na video tu za mitandaoni.

Wewe magufuri unamjua personally na ulishayashuhudia maovu yake akiwa anapanga au kuyatekeleza?!

Hebu tulia, Iddy Amini alikuwa dictator na akaua wetu. Uliwahi kukaa naye kusikia akipanga mipango ya mauaji?
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Magufuri hasafishiki mpaka atakapokuja kutokea mbaya zaidi yake hapo story zake zitaisha lakini kama tutaendelea kupata marais ambao wanaitii Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watu wake ataendelea kuongelewa vibaya.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Utatukanwa na waroho mkuu
 
Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza. Mithali 10:6.
Jina la JPM, litaendelea ku trend vizazi vingi vijavyo. Ninyi badala ya kufanya kazi, endeleeni kulalamika tu ndicho mtakacho vuna. Watanzania sio wajinga.
True !
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Pole sana lakini hatarudi tena Tanzania na upumbavu wake wote umezikwa Chato.
 
Pole sana lakini hatarudi tena Tanzania na upumbavu wake wote umezikwa Chato.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Angejifunza hili angefaidika sana....Maana mtu mwenyewe mfu kisha anatetewa hadi na mawe...Hawezi kujiuliza why? JPM aligusa maisha ya mtu wa kawaida kiuhalisia siyo kisiasa....Kila mtu alijisikia salama isipokuwa wahalifu ambao ni population ndogo sana
 
Walitaka kuuza eneo lote la Oysterbay polisi kuanzia Namanga mpaka Morocco mpaka ubalozi wa Marekani halafu pakishajengwa warudi kama mpangaji wa kipande kidogo cha ofisi. Mwekezaji mwenyewe business plan yake achukue mkopo kutumia collateral ya kiwanja hicho hicho cha polisi!

JPM akawaambia polisi are you freaking imbecilles ? Mnawezaje kujiuza na kuuza nchi yenu kipumbavu namna hiyo?

Meanwhile, nobody in the nation since Nyerere's era saw anything wrong with such state auctioneering. 60 million people but nobody else!

Ingekuja leo hiyo proposal ingepita. Atakumbukwa.
Wapo wengi kama JPM ila mifumo iliyopo inawazuia ku excel, si mbali na sasa patafumuka and you wont believe your eyes, critical mass imeshakaribia, huu ujinga hauna muda mrefu, nife au niwe hai weka hii kauli yangu...
 
Angejifunza hili angefaidika sana....Maana mtu mwenyewe mfu kisha anatetewa hadi na mawe...Hawezi kujiuliza why? JPM aligusa maisha ya mtu wa kawaida kiuhalisia siyo kisiasa....Kila mtu alijisikia salama isipokuwa wahalifu ambao ni population ndogo sana
Maisha ya kuiba pesa na kupeleka China ili kujenga Chato iwe nchi huru inayojitegemea kama Rwanda na Burundi.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Hayo maoni ya watu 2000 ya wanaomtetea muuaji yako wapi? Yaani unataka kusema nchi hii imejaa watu waovu ambao siku zote wanatetea uovu kama ule uliofanywa na marehemu?
 
Nikitaka kuwaza ujuzi na maarifa kwa jamii Magufuli yumo kwenye 5 bora ya taifa, na tundu lisu hayumo hata kwenye 300 ya role model wangu.
Magufuli kila uchwao, kizazi na vingi vijavyo, kama ilivyokuwa kwa Stallin, jina lake litazidi kutajwa kwa uovu mkubwa alioutenda.

Na kwa jina la Mungu wetu, Mungu wa haki, kamwe Taifa hili halitakuja kuwa na Rais mwovu kama Magufuli. Kiongozi aliyestahili kuwa mlinzi akageuka kuwa muuaji wa wananchi wake. Kiongozi aliyestahili kulinda haki za watu, akageuka kuwa mdhulumaji wa haki za watu. Kiongozi aliyestahili kulinda rasilimali za nchi akageuka kuwa mwizi, mdhulumaji na mtoroshaji wa fedha ya nchi.

Mungu, tunaomba alilinde Taifa letu dhidi ya vjongozi waovu, na laana ya Mungu wetu ikawe juu ya viongozi waovu. Hata wakiiba kiasi gani, wasipate muda wa kufurahia wizi wao.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Niliona kwenye tweet ya Lema jamaa kamwambia, "Lema soma mpaka mwisho wa comments na changanua like nyingi zinaLIKE reply aina gani"

Ukweli mchungu mtandaoni wanavyomchalaza bakora Magufuri utadhani ndiyo uhalisia wa asilimia kubwa kumbe vise versa!.

✒️Naendelea kujifunza!.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Ni oil chafu kweli na ameacha uchafu mwingi sana kila mahali.
 
Back
Top Bottom