Magufuli 'oil chafu' ukiigusa unachafuka mwenyewe

Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Nyie genge la wasukuma acheni ujinga wa kutaka kujaza matumbo yenu kupitia Magufuli aliyekuwa hovyo.
 
Walitaka kuuza eneo lote la Oysterbay polisi kuanzia Namanga mpaka Morocco mpaka ubalozi wa Marekani halafu pakishajengwa warudi kama mpangaji wa kipande kidogo cha ofisi. Mwekezaji mwenyewe business plan yake achukue mkopo kutumia collateral ya kiwanja hicho hicho cha polisi!

JPM akawaambia polisi are you freaking imbecilles ? Mnawezaje kujiuza na kuuza nchi yenu kipumbavu namna hiyo?

Meanwhile, nobody in the nation saw anything wrong with such state auctioneering since Nyerere's era. 60 million people but nobody else!

Ingekuja leo hiyo proposal ingepita. Atakumbukwa.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Lisu na wale wote wanamsema vibaya Magufuli siasa zao zinaishia 2025. Trust me
 
Walitaka kuuza eneo lote la Oysterbay polisi kuanzia Namanga mpaka Morocco mpaka ubalozi wa Marekani halafu pakishajengwa warudi kama mpangaji wa kipande kidogo cha ofisi. Mwekezaji mwenyewe business plan yake achukue mkopo kutumia collateral ya kiwanja hicho hicho cha polisi!

JPM akawaambia polisi are you freaking imbecilles ? Mnawezaje kujiuza na kuuza nchi yenu kipumbavu namna hiyo?

Meanwhile, nobody in the nation since Nyerere's era saw anything wrong with such state auctioneering. 60 million people but nobody else!

Ingekuja leo hiyo proposal ingepita. Atakumbukwa.
MAGUFULI alikuwa raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na nachelea kusema raisi bora wa muda wote!
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
downloadfile-4(1).jpg
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.

Hapa napo ziko ngapi zinazokuzodoa? 🤣🤣
 
Kama ndio hivyo, huo uzi ulivamiwa na sukuma gang tena kwa kuitana
 
Lisu na wale wote wanamsema vibaya Magufuli siasa zao zinaishia 2025. Trust me
Wewe hukomagi tu? Unashutumiwa kumuua Ben Saanane ila Kwa ukaidi upo tu kutisha viongozi. Sasa mie binafsi nitakulia njuga Mjinga wewe.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
CCM wameapa kumtetea...hata shetani hutetewa na wengi na kwa nguvu kubwa!
 
Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza. Mithali 10:6.
Jina la JPM, litaendelea ku trend vizazi vingi vijavyo. Ninyi badala ya kufanya kazi, endeleeni kulalamika tu ndicho mtakacho vuna. Watanzania sio wajinga.
Hitler bado naye ana trend pia.
 
Lisu na wale wote wanamsema vibaya Magufuli siasa zao zinaishia 2025. Trust me
Jinsi mamlaka husika zilivyo handle shambulizi dhidi ya lissu serekali ya wakati huo haiwezi kujitenga nalo regardless wanaomsema vibaya marehemu wameishia lini......
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
UNASOMA COMMENTS ZA WAJINGA WENZAKO
 
Lisu hahitaji kubwa hata kwenye 60m bora, ila alichosema kuhusu ukatali wa Magufuli yuko sahihi.
Wapo watu walio aibishwa tu na JPM kwenye mikutano ya hadhara, wanamchukia sana mpaka leo hii, itakuwa huyu ALIYEMIMINIWA risasi kama walikuwa wanataka kuua tembo?
Waswahili wanasema, "UTAMSAHAU ALIYEKUCHEKESHA, LAKINI SIO ALIYEKULIZA!"
 
Back
Top Bottom