mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Pia soma:
SI KWELI - Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina
Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli. Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
www.jamiiforums.com