Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Kwanza ni mambo ya kishamba sana kuita miundombinu majina ya watu badala ya majina ya eneo husika. Sana sana ikilazimu basi vichache sana viitwe kwa rais wa kwanza basi. Imagine badala ya kuita Dar Bus Terminal eti unaita Nyamayao bus terminal!!!Lakini hata hivyo alimwambia kabisa Mh Jafo kipindi hiko kwamba, kama wamachinga na mama ntilie watafukuzwa hapo, basi wafute na jina lake hapo, bila shaka wamefanya kile mwenyewe alisema, maana ni kweli hao wamachinga walitimliwa