Magufuli Terminal yabadilishwa jina

Magufuli Terminal yabadilishwa jina

Lingekuwa jina la Kiislam lingeachwa tu

Majina ya Kiislam ni mafupi na rahisi kutamka[emoji12]
 
Kwanza ni mambo ya kishamba sana kuita miundombinu majina ya watu badala ya majina ya eneo husika. Sana sana ikilazimu basi vichache sana viitwe kwa rais wa kwanza basi. Imagine badala ya kuita Dar Bus Terminal eti unaita Nyamayao bus terminal!!!
Kwa hiyo magufuli tu ndiyo majina yake yapo

Ova
 
Hangaya ana kinyongo sana na Magu
Ni swala na Muda tu hata yeye kumbukumbu zake tu tafuta... Huu sio binadamu kabisaa... Ila hata wafute Bado sisi tutaita Magufuli bus terminal tuone kama watalazimisha mdomo yetu.. Mfyuu.... Roho mbaya tu!
 
Ni swala na Muda tu hata yeye kumbukumbu zake tu tafuta... Huu sio binadamu kabisaa... Ila hata wafute Bado sisi tutaita Magufuli bus terminal tuone kama watalazimisha mdomo yetu.. Mfyuu.... Roho mbaya tu!
Sijaufuta ujumbe wangu maskudi kuonesha makosa ya missinformation.

Kiukweli jina la Magufuli halijafutwa pale stand. Lakini tukaingizwa chaka na chombo cha serikali cha habari yaani jarida la Habari Leo ndiyo chanzo cha taharuki hii.

Nimeomba radhi posts za mbeleni baada ya kutafiti na kugundua tumedanganywa
 
Nashukuru Mungu nimekuwa sehemu ya walioshuhudia utawala wa John Pombe Magufuli. That mothafucka was doing the real gangsta shiiit when it came to politics. He used to be the man of words sio mbabaishaji ila amenyooka. Ameweza kuamsha vichwa vya watanzania wengi ambao walishapoteza tumaini na hili taifa.
 
Active nk mbona munaacha habari za uzushi na zenye kuleta chuki kwa mamraka ziendelee kuwepo jf,hizi picha niza zamani kabla Mh Jaffo hajaamua kubadili na kuiitastendi hiyo jina la JPM,harafu watu waache kuwa yuma ya technolojia,hizo picha zimo mtandaoni kwa miaka mitatu sasa
.....Lugha Sarufi (Language grammar)....

Munaacha ❌️
Mnaacha✔️

Mamraka ❌️
Mamlaka ✔️

Harafu ❌️
Halafu ✔️

Mengine ni ya kawaida katika kuunganisha tu sentensi
 
View attachment 2846494
Pia soma:
Harafu niliona kwenye mtandao eti wanakanusha 😆😆

Labda wanataka kumpa jina kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom