DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Zamani ilikuwa imeandikwa kituo cha Mabasi cha magufuli (Magufuli Bus Terminal) ..Kwani imeandikwaje
Biashara holela zinakosesha jiji, TRA mapato, naweza hata nikawa naingiza laki moja kwa mwezie lakini siungi mkono serikali kupoteza mapato kupitia uholelaSidhani Kama ungekuwa kwenye icho kiatu am so sure kama ungeongea hivi. Labda una kasalari slip fulani hata take home $1000 haifiki Ila unaona wenzako Kama Ni uchafu. Huwezi ifanya dar ikawa Kama new York eti usafi. Ni sawa useme unataka gari mpya mjini wakati watu wako hawanaa icho kipato.
Your ego is at work not you.
Jina halijabadilishwa wewe,Hangaya ana kinyongo sana na Magu
Sio kweli mkuuZamani ilikuwa imeandikwa kituo cha Mabasi cha magufuli (Magufuli Bus Terminal) ..
Naona sahizi kimeandikwa Dar es salaam Bus terminal /Kituo kikuu cha mabasi Dar es salaam
AiseeJina halijabadilishwa wewe,
Picha hio ni ya zamani sanaaa, wew unaona kweli Stend ya Magufuli iwe imepoa hivo,
Unaona hata frame za chini bado mpya hazijawa branded,
Ni watu tu wanaendeleza siasa za maji tope
Usijali Jiji la dar litaangamia kabisa halitokuwepo usiumie mji huo umelaaniwa mkuu karibu mkoani mkuu!!!
ANhaaa kumbe haijabadilishwa mkuu ni siasa za watu tu..Sio kweli mkuu
Kwani alijenga kwa hela yake. Badili majina ya familia yako wote waitwe hilo jina unalolipenda sana
Iitwe Mbowe hotel interchangeSafi sana, hata Ubungo interchange ibadilishwe jina, sio akina Kijazi
EditedDuh! ni kweli au chai picha ya kutungwa ?
Bora hata hiloIitwe Mbowe hotel interchange
You're just talking your emotions. Umeshajaribu kujua Kodi yako inafanya kazi gani. Mfano unajua Kuna bilioni 69 tzs zilitumika kukodi software kutoka India ya kufuatilia umeme kukatika. Eti holela unajaribi kuonekana kuwa upo nao Ila unaonyesha sura yako. Unajua ule mchanga wangese wangapi wanaruhusu unatoka kwa makontena. Unajua mita ya mafuta inavyochezeshwa kiasi kwamba sio Lita zote Kodi zinalipwa.Biashara holela zinakosesha jiji, TRA mapato, naweza hata nikawa naingiza laki moja kwa mwezie lakini siungi mkono serikali kupoteza mapato kupitia uholela