Magufuli Terminal yabadilishwa jina

Lakini hata hivyo alimwambia kabisa Mh Jafo kipindi hiko kwamba, kama wamachinga na mama ntilie watafukuzwa hapo, basi wafute na jina lake hapo, bila shaka wamefanya kile mwenyewe alisema, maana ni kweli hao wamachinga walitimliwa
Kwanza ni mambo ya kishamba sana kuita miundombinu majina ya watu badala ya majina ya eneo husika. Sana sana ikilazimu basi vichache sana viitwe kwa rais wa kwanza basi. Imagine badala ya kuita Dar Bus Terminal eti unaita Nyamayao bus terminal!!!
 
Hatuhitaji Dar iwe safi Kama New York nooo!!! Tunataka iwe safi kama Moshi au Iringa, yaani ifikie mahala jiji la Dar nalo lishinde kwa usafi...
 
Bora tu, hatuwezi kuendelea kutajataja majina ya watu hata kama tulikuwa hatuwapendi. Bado daraja la kilombero ambalo nalo limepewa jina la Magufuli btidge wakati aliyelijenga ni Jakaya kikwete Rais wa amumj ya nne.

Madikteta wanapenda sana kutumia majina yao kwenye miradi mikubwa ili tuendelee kuwataja.
 
Hatuhitaji Dar iwe safi Kama New York nooo!!! Tunataka iwe safi kama Moshi au Iringa, yaani ifikie mahala jiji la Dar nalo lishinde kwa usafi...
Njia ya kufanya mji uwe safi ni kuwatengenezea wananchi huduma bora za kijamii kama vile afya, elimu,fursa bora za uchumi n. K na si matumizi ya nguvu. Matumizi ya nguvu ya kuwaondoa wananch sehem mbalimbali kwa pointi ya usafi wa mji ni dhahiri wanaotumia hizo nguvu wameshindwa kufikiri kwa weledi.
 
Akili za mbute tena hizi!
 
Hii nzuri.
Yule ibilisi muuaji hatumtaki .
Mungu mwenyewe alimkataa akamfuta, sisi ni nani tushindane na Mungu?
 
Ile stand sijui ni soko la kule dodoma nalo lingebadilishwa tena lile ndilo linalo nikera hatari
 
Huyu Mwamba legacy yake haiwezi futika ktk historia ya nchi hii hata wakitembelea ulimi,Kuna wawili tu nchi hii mpaka Sasa Baba wa Taifa na huyu baba mdogo wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…