Magufuli to Kenyans: na mtaumia sana tu

Magufuli to Kenyans: na mtaumia sana tu

Tanzania kuingiza zaidi ya billion 5 na million 600 kwa siku (Billions 173 na million 600 kwa mwezi) kwa mapipa laki 2, Uganda inategemea kuzalisha mapipa zaidi ya laki 3 kwa siku.

SASA NIMEELEWA.......Nilishangaa na sikuelewa kabisa maelezo ya hapo chini kutoka kwa kiongozi wa Uganda.....
>Uganda need good coal or natural gas in order to produce steel from iron ore.

=>Tukileta haya mafuta, tunataka na bomba lingine lipande kule kuchukua gasi.
=>Tanzania governement no transit fees, no VAT, no corporate tax
 
Sio dalili njema za Jumuia ya Afrika mashariki, Kenya na Tanzania ni wadau muhimu sana ktk Junuia hii lkn naona uhusiano wao unavyodorora utasababisha kuyumba kwa jumuia hii.
Haikuwa busara kwa Rais wetu kutamka hii maneno. Kumbuka NENO moja laweza kuleta vita
 
Kama kweli aliyasema hayo na alimaanisha hivyo, basi "uchangaji wa karata" wa jamaa yetu ni wa kutiliwa mashaka sana!!
 
kelele za chura zile...East Africa's most advanced economy still anajulikana.....ila msijali wanaongea lugha moja hawa...lugha ya ma dictators...mmoja ana tamani kufia uongozini,..mwingine anatamani kufunga media zote na kuwashutumu waimbaji na opposition....lets understand them...dicatators...ila pia mimi nalaumu hao media writers wa Kenya...mbona waliandika ujinga?
 
Zama za JK tulikuwa very diplomatic, tukageuzwa punching bag na kila mtu, Watanzania tukapiga kelele hadi bhaas.

Leo tuna kiongozi mwenye msuli, mwenye uwezo wa kusema chepe ni chepe wala sio kijiko cha kuchotea mchanga, Watanzania tumenyanyua dude tena, duh! Watz Kiboko. Ni kama hatujui tukitakacho.

Mhe akifanya A sisi tunataka B, akifanya A na B anataka sifa. Ikitokea akaamua kutusikiliza itabidi arudi Chato manake hatuna jema.

Tupunguze Siasa kidogo, tutangulize maslahi ya nchi yetu. Anachofanya Mhe. Rais ni kwa maslahi yetu sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A strong leader ni lazima kuwa na maneno kama haya?
Kumbuka Kenya ndio ndugu zetu wa karibu kuliko wengine wote. Mtz ukiwa Kenya unajihisi nyumbani kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Museveni haeleweki pia. Hakuna venye railway itakuwa substitute ya railway. Hebu andika na kiswahili. Naelewa Kizungu ni Tatizo
Hahaha mungiki leo ndio nimejua hamjui English hahaha anyway ngoja niwape shule sasa sababu kibera haina credible educational institutions za kuwafanya msuit my status of course you are not my type garbage heads with empty box like a pumpkin functional on body balance only instead of thinking critical factors and at least comprehend maybe though tough.

Okay here we go mungikis please careful and focus.

sub·sti·tute
ˈsəbstəˌt(y)o͞ot/
noun
  1. 1.
    a person or thing acting or serving in place of another.
    "soy milk is used as a substitute for dairy milk"
    synonyms: replacement (so instead of railway, pipeline okay mungiki?) , deputy, relief, proxy, reserve, surrogate, cover, stand-in, locum (tenens), understudy; More
verb
  1. 1.
    use or add in place of.
    "dried rosemary can be substituted for the fresh herb"
    synonyms: exchange, replace, use instead of, use as an alternative to, use in place of, swap
    "cottage cheese can be substituted for yogurt"

Get that in head you retarded pumpkin
 
A strong leader ni lazima kuwa na maneno kama haya?
Kumbuka Kenya ndio ndugu zetu wa karibu kuliko wengine wote. Mtz ukiwa Kenya unajihisi nyumbani kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ndg zetu kwa 100%, lakini unaelewa wanavyoturate? Lazima wajuzwe kwamba Watz tupo strong na sivyo wanavyofikiria.

Ssi ni ndg na tunategemeana kwa maendeleo yetu sote. Ni lazima tuheshimiane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kelele za chura zile...East Africa's most advanced economy still anajulikana.....ila msijali wanaongea lugha moja hawa...lugha ya ma dictators...mmoja ana tamani kufia uongozini,..mwingine anatamani kufunga media zote na kuwashutumu waimbaji na opposition....lets understand them...dicatators...ila pia mimi nalaumu hao media writers wa Kenya...mbona waliandika ujinga?
Sijawahi kuona nchi inayoongozwa na dictator inaizidi nchi inayojiita ya democracy

check for yourself EIU Democracy Index 2016
 
Jamani mbona kiongozi mmoja wa Kenya aliwahi kusema mbele yetu kuwa ni kweli wanasema " Mlima Kilimanjaro upo Kenya!" Wa kwetu akisema kitu mnasema "Je, ni sawa kusema hivyo?"
 
Jamani mbona kiongozi mmoja wa Kenya aliwahi kusema mbele yetu kuwa ni kweli wanasema " Mlima Kilimanjaro upo Kenya!" Wa kwetu akisema kitu mnasema "Je, ni sawa kusema hivyo?"
kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????
pole sana
 
Back
Top Bottom