Magufuli to Kenyans: na mtaumia sana tu

Magufuli to Kenyans: na mtaumia sana tu

kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????
pole sana
Hata mimi namshangaa, ye mwenyewe haoni hata wanaoishi kando ya mlima wote wanajitambulisha kama wakenya?
 
una akili? nchi ya tz imezidi kenya kivipi? Kenya is ahead of all East African nations in every aspect...most advanced economy in EA...sio makosa wakisema hivo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu litakuua bwana J, ukiskia tu kenya inazidiwa basi unapata wazimu!

Unamaanisha nini kusema in every aspect? Nimeweka link hapo hata hujishughulishi kusoma unabwabwaja tu!
 
kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????
pole sana
Wanaupenda sana huo mlima ila hawataupata labda lile jiwe maji la Bugingo!
 
Jamani mbona kiongozi mmoja wa Kenya aliwahi kusema mbele yetu kuwa ni kweli wanasema " Mlima Kilimanjaro upo Kenya!" Wa kwetu akisema kitu mnasema "Je, ni sawa kusema hivyo?"


Kiongozi mgani huyo aliyasema haya?
 
Back
Top Bottom