pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hata mimi namshangaa, ye mwenyewe haoni hata wanaoishi kando ya mlima wote wanajitambulisha kama wakenya?kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????
pole sana