MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
SASA NIMEELEWA.......Nilishangaa na sikuelewa kabisa maelezo ya hapo chini kutoka kwa kiongozi wa Uganda.....Tanzania kuingiza zaidi ya billion 5 na million 600 kwa siku (Billions 173 na million 600 kwa mwezi) kwa mapipa laki 2, Uganda inategemea kuzalisha mapipa zaidi ya laki 3 kwa siku.
Mnawaumiza tu wa mioyo,waacheni wapite salama na uchaguzi huu.Safari moja huanzisha nyingine
The pipeline is the substitute for sgr...kiingereza ni ngumu kweliThe substitute for the railway should be the very railway, we are not finished with Uganda yet SGR is next
Tatizo nini hapo your English is cheap and lameThe pipeline is the substitute for sgr...kiingereza ni ngumu kweli
sent from iPhone 7
Unajua maana ya substitute??... Yani ingekua reli aka substitute na pipe..uko na shida mseeTatizo nini hapo your English is cheap and lame
A strong leader ni lazima kuwa na maneno kama haya?Zama za JK tulikuwa very diplomatic, tukageuzwa punching bag na kila mtu, Watanzania tukapiga kelele hadi bhaas.
Leo tuna kiongozi mwenye msuli, mwenye uwezo wa kusema chepe ni chepe wala sio kijiko cha kuchotea mchanga, Watanzania tumenyanyua dude tena, duh! Watz Kiboko. Ni kama hatujui tukitakacho.
Mhe akifanya A sisi tunataka B, akifanya A na B anataka sifa. Ikitokea akaamua kutusikiliza itabidi arudi Chato manake hatuna jema.
Tupunguze Siasa kidogo, tutangulize maslahi ya nchi yetu. Anachofanya Mhe. Rais ni kwa maslahi yetu sote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mungiki leo ndio nimejua hamjui English hahaha anyway ngoja niwape shule sasa sababu kibera haina credible educational institutions za kuwafanya msuit my status of course you are not my type garbage heads with empty box like a pumpkin functional on body balance only instead of thinking critical factors and at least comprehend maybe though tough.Hata Museveni haeleweki pia. Hakuna venye railway itakuwa substitute ya railway. Hebu andika na kiswahili. Naelewa Kizungu ni Tatizo
Ni ndg zetu kwa 100%, lakini unaelewa wanavyoturate? Lazima wajuzwe kwamba Watz tupo strong na sivyo wanavyofikiria.A strong leader ni lazima kuwa na maneno kama haya?
Kumbuka Kenya ndio ndugu zetu wa karibu kuliko wengine wote. Mtz ukiwa Kenya unajihisi nyumbani kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee usidhani kila mtu anajua kisukuma ebooHivi jili nomba anakenga nani kama mfadhili ?
Sijawahi kuona nchi inayoongozwa na dictator inaizidi nchi inayojiita ya democracykelele za chura zile...East Africa's most advanced economy still anajulikana.....ila msijali wanaongea lugha moja hawa...lugha ya ma dictators...mmoja ana tamani kufia uongozini,..mwingine anatamani kufunga media zote na kuwashutumu waimbaji na opposition....lets understand them...dicatators...ila pia mimi nalaumu hao media writers wa Kenya...mbona waliandika ujinga?
kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????Jamani mbona kiongozi mmoja wa Kenya aliwahi kusema mbele yetu kuwa ni kweli wanasema " Mlima Kilimanjaro upo Kenya!" Wa kwetu akisema kitu mnasema "Je, ni sawa kusema hivyo?"