pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hata mimi namshangaa, ye mwenyewe haoni hata wanaoishi kando ya mlima wote wanajitambulisha kama wakenya?kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????
pole sana
una akili? nchi ya tz imezidi kenya kivipi? Kenya is ahead of all East African nations in every aspect...most advanced economy in EA...sio makosa wakisema hivoSijawahi kuona nchi inayoongozwa na dictator inaizidi nchi inayojiita ya democracy
check for yourself EIU Democracy Index 2016
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu litakuua bwana J, ukiskia tu kenya inazidiwa basi unapata wazimu!una akili? nchi ya tz imezidi kenya kivipi? Kenya is ahead of all East African nations in every aspect...most advanced economy in EA...sio makosa wakisema hivo
Wanaupenda sana huo mlima ila hawataupata labda lile jiwe maji la Bugingo!kwani uko dunia gani??? mpaka leo hii hujawai jua kua mlima kilimanjaro upo Kenya?????
pole sana
Jamani mbona kiongozi mmoja wa Kenya aliwahi kusema mbele yetu kuwa ni kweli wanasema " Mlima Kilimanjaro upo Kenya!" Wa kwetu akisema kitu mnasema "Je, ni sawa kusema hivyo?"
Tena aliyasema hayo Hapa Hapa Dar Es Salaam Katika moja ya ziara zake.Kiongozi mgani huyo aliyasema haya?