Uchaguzi 2020 Magufuli Vs Bernard Membe Vs Tundu Lissu. Huu uchaguzi sijui utakuwaje

Uchaguzi 2020 Magufuli Vs Bernard Membe Vs Tundu Lissu. Huu uchaguzi sijui utakuwaje

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao yatakuwa kwenye sanduku la Kura la Raia wote.

Sasa Membe ana umati wake, upinzani una umati wake. Je Kura zitahesaniwa hadharani kama walivyo fanya kwenye chama chao au yanaishia huko tu

Tunasubiri maamuzi ya mchakato wa kuhesabu kura
 
Kwa vile kura zilikuwa zinapigwa ki mkoa ilikuwa si rahisi kupata kura ya hapana (nadhani utakuwa umeelewa).
Kumbuka pia wakati kura zinapigwa Membe alikuwa kajitoa CCM ila alikuwa hajaenda ACT, ujio wa mhe. Magufuli, Membe na Lissu utamfanya Mhe. Magufuli ashinde kiurahisi maana kura za upinzani zitagawanyika wakati huo ACT watakuwa na mtaji mkubwa wa kura za Zenji na za kusini.
 
Magufuli - Diamond Platnum
Membe - Harmonize
Lisu/Nyalandu - Ali Kiba
 
Mnajikoli tu huku mitandaoni na ndipo walipo wapinzani wengi ila huko vijijini chichiemu tu na hapo ndipo mnapofeli upinzani mpo juu juu huku panapoonekana na watu wachache wenye uwezo wa Internet.. Kuna kitu mnapungukiwa Sana na mskishika huko chichiem mtaipa hamsha amsha ni ngazi za huko chini kata tarafa mpk familia!..

Sasa nyie komaeni na bodaboda tu wengine wameshapoteza vitambulisho!,siku ya uchaguzi ndo wanawaza kupiga hela wengine wanajituliza skani kuogopa fujo Wkt vijijini vitambulisho vya familiafamilia vimetunzwa na babu..😅 vyote vipo na upya wake siku ya uchaguzi babu anakupatia au unasajili lini au vipi.. vinatunzwa utadhani ndo kimetoka kwenye mashine leo.. nyumba tu unakuta kuna bango la chichiem picha ya rais..😅

Mtasubiri Sana mpk mtakapojua pakushika..
 
Ameumiza watz wengi Sana ni ngumu kupita, ameshindwa miaka 5 kuyabadili maisha ya watu hatoweza kuyabadili 5 ijayo, ilitakiwa 5 ajenge misingi ya maendeleo ya watu na sio vitu.
Kama mtamchagua kwa maendeleo ya vitu sawa na sio watu.
 
Mnajikoli tu huku mitandaoni na ndipo walipo wapinzani wengi ila huko vijijini chichiemu tu na hapo ndipo mnapofeli upinzani mpo juu juu huku panapoonekana na watu wachache wenye uwezo wa Internet.. Kuna kitu mnapungukiwa Sana na mskishika huko chichiem mtaipa hamsha amsha ni ngazi za huko chini kata tarafa mpk familia!.. Sasa nyie komaeni na bodaboda tu wengine wameshapoteza vitambulisho!,siku ya uchaguzi ndo wanawaza kupiga hela wengine wanajituliza skani kuogopa fujo Wkt vijijini vitambulisho vya familiafamilia vimetunzwa na babu..😅 vyote vipo na upya wake siku ya uchaguzi babu anakupatia au unasajili lini au vipi.. vinatunzwa utadhani ndo kimetoka kwenye mashine leo.. nyumba tu unakuta kuna bango la chichiem picha ya rais..😅

Mtasubiri Sana mpk mtakapojua pakushika..

Mbona Sasa mnawategemea polisi na sio hao wa vijijini kuwapa ushindi
 
Membe alishasema yeye ni mnogeshaji usitarajie makubwa toka kwake.

Lisu tarajia makelele tu na marudio ya simulizi ya namna alivyopigwa risasi usitarajie atakwambia chochote cha maana kuhusiana na sera za Chama chake.
 
Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao yatakuwa kwenye sanduku la Kura la Raia wote.

Sasa Membe ana umati wake, upinzani una umati wake. Je Kura zitahesaniwa hadharani kama walivyo fanya kwenye chama chao au yanaishia huko tu

Tunasubiri maamuzi ya mchakato wa kuhesabu kura
CCM wahesabu kura hadharani waaibike?
 
Back
Top Bottom