Hiki Chama kilikuwa na Marehemu Prof. Malima. Sijui kama bado kipo. Hata ndugu zangu wa Pwani wamegoma kukiunga mkonoKura yangu kwa chama cha NRA
Mnajikoli tu huku mitandaoni na ndipo walipo wapinzani wengi ila huko vijijini chichiemu tu na hapo ndipo mnapofeli upinzani mpo juu juu huku panapoonekana na watu wachache wenye uwezo wa Internet.. Kuna kitu mnapungukiwa Sana na mskishika huko chichiem mtaipa hamsha amsha ni ngazi za huko chini kata tarafa mpk familia!.. Sasa nyie komaeni na bodaboda tu wengine wameshapoteza vitambulisho!,siku ya uchaguzi ndo wanawaza kupiga hela wengine wanajituliza skani kuogopa fujo Wkt vijijini vitambulisho vya familiafamilia vimetunzwa na babu..π vyote vipo na upya wake siku ya uchaguzi babu anakupatia au unasajili lini au vipi.. vinatunzwa utadhani ndo kimetoka kwenye mashine leo.. nyumba tu unakuta kuna bango la chichiem picha ya rais..π
Mtasubiri Sana mpk mtakapojua pakushika..
CCM wahesabu kura hadharani waaibike?Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao yatakuwa kwenye sanduku la Kura la Raia wote.
Sasa Membe ana umati wake, upinzani una umati wake. Je Kura zitahesaniwa hadharani kama walivyo fanya kwenye chama chao au yanaishia huko tu
Tunasubiri maamuzi ya mchakato wa kuhesabu kura