Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Unajiuliza watu wanaochukizwa na kila Jambo la maendeleo linalofanyika wakipata nafasi watafanya nini juu ya vile wasivyovipenda.

Mgombea wa Urais kupitia ACT aliwahi kutoa ahadi kuwa akiwa Rais maadui zake 11 watakimbilia Kenya.
 
Kweli kabisa tuweke kumbukumbu kwa hawa uyoga!
 
Magufuli ni moja ya viongozi wachache saana ambao utawapata Afrika.

Uongozi wake sio wa nadharia.... unaongea matatizo halisi yanatukabili na kadri ya uwezo wako unayafanyia kazi.
Wewe daby ni sh.ger nenda kajadili mapenzi kule uliko jikita jukwaa la mapenzi. Wewe unawaza ngono tu mambo ya nchi huwezi kujua mkuu.
 
Jana tuu kauliza wananchi eti wanataka kupanuliwa wapi. japo alikuwa sahihi ila aliuliza kama kumaanisha fulani
Mwamba mbona hujaeleweka, unaonekana unahisi kuna makosa kwenye kauli hiyo...hicho ni kiswahili kimenyooka tu ila watu tu ndo mnataka kuleta tafsiri zenu.
 
Magufuli akiwa mbunge hakuwahi kuwa challenged, waliotaka kum challenge wote hawakuwa na mwisho mzuri.

If you know you know
 
Mbona kama anatutisha kwani hata wakivunja hayo madaraja yy atakuwa ana hasara gani
 
Kuna mnyanyembe mmoja alikua amevaa tshirt ya Chadema.aling'oa alama ya barabarani.tulimgongesha kichapo cha kimataifa kisha tukampeleka ngomeni kwa pilato.
Hahahah.. Mkuu hongereni sana kwa kitendo cha kizalendo. Dawa ya hawa wapuuzi ni kwenda nao jino kwa jino polisi wakifika tayari boya mmemkalisha amefloat
 
Mwamba mbona hujaeleweka, unaonekana unahisi kuna makosa kwenye kauli hiyo...hicho ni kiswahili kimenyooka tu ila watu tu ndo mnataka kuleta tafsiri zenu.
Sawa sijabisha kila mtu ana uekewa wake
 
Wewe ni nani unayebisha kama Meko mwenyewe leo kawaambia mboga mboga wenzie wasibweteke kuwa wameshashinda uchaguzi.
Kweli hata Mimi nimemsikia Ni Kama haamini hivi,Tena kaomba kampeni ziwe kitanda kwa kitanda.hii Ni kauli ya kuonA mziki uliopo Ni mnene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…