The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Kwa nini haumalizii alivyosema?Katoa statement hii akiwa Singida - Sherehe za CCM. Hii JPM amepitiwa? au ndivyo inavyokusudiwa kuwa!
Wakati mwingine muwe mnasikikiza hotuba vizuri kabla ya kupost, na mnakurupuka tu kana kwamba mnatoka chooni.
Wakati mwingine muwe mnasikikiza hotuba vizuri kabla ya kupost, na mnakurupuka tu kana kwamba mnatoka chooni.
unadhani wakiichukia ccm wanahamia wapi sasa. kwa mafisadi auWatashinda sababu idadi ya watu wanaoichukia ccm inazidi kuongezeka.
Siwezi kukulaum, najua si kosa lako, ni uwezo mdogo tu wa ufaham uliojaaliwa.Wewe uliesikiliza vizuri amesaemaje?
Nawa liweke tu kwa maandishi katika Katiba kwamba ni MARUFUKU NA MAKUFURU chama kingine chochote kuongoza hii nchi maana tunajua hawapendi na ni waoga hivyo yasi ishie tu midomoni kama kiburudisho, vinginevyo kama jeuri yao ni dhuluma,wizi na magoli ya mkono kuna wakati game ita kataa na watalamba mchanga kama ilivyo tokea uchaguzi ulio pita.Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.
Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.
Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.
Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-Kagame
Ameweza nnSugu ameweza.
Umenena pokea like.Kama kila rais atakuwa kama Magufuli
Kweli upinzani hii nchi wataisikilizia tu radioni.