Katiba mpya haijasaidia?Kivipi? Mapambano ya Kenya ni juu ya kabila gani lidominate mfumo wa utawala. Wala sio juu ya maendeleo ya nchi na wananchi.
Wameshindwa kutengeneza mfumo wa kupunguza ukabila Kenya.
Kuna miiko wameshindwa kujiwekea.
Wakenya wanaona hiyo katiba yao kama karatasi tu. Ndio maana kila kukicha wanataka kuibadiliaha. Ukiona hivyo ujue tatizo sio katiba. Tatizo makabila.Katiba mpya haijasaidia?
Willium Ruto ameamua kuwa jeuri na nyang'au na hivyo kuiondoa kenya kwenye wimbi la muda mrefu la ufisadi na uhuni uliokuwa umekithiri nchini Kenya?
Sielewi maana ya matusi na kebehi, tena baada ya kusoma na kufanya tafakuri ya maandishi yako.wakazi waliochoka wa Mitaa ya kibera dhidi ya matycoon wachache waliowezeshwa na walami?
We ni mwehu . KamdufueKatiba mpya haijasaidia?
Swadaqta!! zile hisia ni za kikabila kama ile 2007 na watamalizana sana kwa hapa bongo tusichekee ukabila una hisia sana na ni hatari tusiuweke mbrlrKivipi? Mapambano ya Kenya ni juu ya kabila gani lidominate mfumo wa utawala. Wala sio juu ya maendeleo ya nchi na wananchi.
Wameshindwa kutengeneza mfumo wa kupunguza ukabila Kenya.
Kuna miiko wameshindwa kujiwekea.
Kazini kuna kaziRuto kaamua kupambana na mafisadi na waporaji wa maliasili za nchi, lakini anapaswa awe imara sana maana atatikiswa na wakora.
Mkora namba 1 ni kiongozi wa ODM ambaye anatumiwa na wakora wengine wamejificha.
Ruto akitaka kuinyoosha Kenya kamwe asiwe na muhali kuchukua hatua kwa yeyote yule hata kama alikuwa rafiki yake.
Wakenya wanaona hiyo katiba yao kama karatasi tu. Ndio maana kila kukicha wanataka kuibadiliaha. Ukiona hivyo ujue tatizo sio katiba. Tatizo makabila.
Na kule kiongozi hana aibu kubagua kabila lingine wazi wazi na hata kupeleka maendeleo maeneo kwa kuegemea makabila.
Wakenya wametekwa na mfumo wa makabila na wanashindwa kujinasua.