View attachment 3511394Hatimaye Kitabu cha
MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda kimetoka katika mfumo wa nakala tete (Soft Copy).
Kitabu hiki kimesheheni mambo mengi unayoyajua na usiyoyajua kuhusu Dr. John Pombe Magufuli na falsafa ya
MAGUFULISM kwa Ujumla.
✅Ili kununua kitabu hiki Bofya Link, upande wa Juu kushoto chagua aina ya pesa unayotaka kulipia
Tsh/ USD/GBP nk kisha Bofya kitufe cha
Buy Now, Chagua Mtandao wa Simu unaotaka kutumia kati ya
Airtel Money, HaloPesa, na Mix By Yas (Tigo).
✅Kwa walioko nje ya Nchi unaweza kutumia
Visa Card/Master Card
Unaweza kupata nakala yako muda huu kwa ku Bofya Link hii
MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya PropagandaHiki ni kitabu kinachoelezea historia ya Dr. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Tanzania pamoja na falsafa ya MAGUFULISM.Kama uko Tanzania na ...