Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,332
- 10,911
Mpo poah humu
Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.
Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.
Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.
Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.
Povu Ruksa.