Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

Kwani CHADEMA ndio Magufulists? Au umechanganya uzi mzee
Mkuu achana nae huyo yaan anzisha uzi leo slogan ya Tanzania ya vi wonder iliishia wap yaan yeye atakwambia CDM ndo wameifyekelea mbali 🤣🤣🤣
 
Kama unatukana Magufulist alafu unatumia kila kitu cha magufuli kuanzia stendi, barabara ,zahanati, ndege unakuwa huna akili kabisa
Hapa hapana Mataga hakuna kitu cha Magufuli?

Tulikuwa tunampa huduma zote kwa kodi zetu. Umepata wapi ujasiri huu wakujinga
 
Mpo poah humu

Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.

Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.

Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.

Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.

Povu Ruksa.
Yaani tupo pamoja na Legacy ya Jemedari wetu maana ITABAKI MILELE hata mfanye nini. Mmesahau mlipojaribu mwanzoni kilichotokea. Muwe makini ninachokuomnya chapeni kazi mtuletee matunda sio kufurukutia humu mtandaoni!
 
Magufulist wataendelea kuwepo muda mrefu sana.Hiyo ni mbegu ilyopandwa ndani ya mioyo ya watu. Wanaweza kusinyaa kidogo lakini inahitaji Magufuli mwingine tu aketi katika ofisi namba 1 waweze kustawi tena.
Magufulist wapo wengi sana nchi hii including me. Wanaodhani July Mwisho watasubiri sana. Magufuli ana ishi ndani ya mioyo ya watu.
 
Yaani tupo pamoja na Legacy ya Jemedari wetu maana ITABAKI MILELE hata mfanye nini. Mmesahau mlipojaribu mwanzoni kilichotokea. Muwe makini ninachokuomnya chapeni kazi mtuletee matunda sio kufurukutia humu mtandaoni!

Mlimdanganya hivi akiwa yupo sasa hayupo mnajidanganya.

Unaposema Milele unamzungumzia MUNGU pekee kuwa makini na upumbavu wako
 
Naona unajipa matumaini kama hautakufa.Kila MTU atakufa na ataoza.Wenye akili za mavi kama ww ndio mnafikiri hamtakufa

Kifo hakijawa taabu jombi:

Taabu ni vifo category #2 na #4 tu Mr. Oct 28, 2020 ID.

IMG_20210613_190259_664.jpg

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.

Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.

Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.

Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.

Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.

Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.

TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
 
Mkuu samahani lakini, huyu kocha mkuu wa Wushu ni wewe?
 
Siku zinakwenda kasi sana praise team wanaita mwenzao hamnazo?😂
 
Mpo poah humu

Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.

Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.

Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.

Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.

Povu Ruksa.
Haina mvuto.
 
Back
Top Bottom