Team standard oryeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. OryeryeMagufulist wataendelea kuwepo muda mrefu sana.Hiyo ni mbegu ilyopandwa ndani ya mioyo ya watu. Wanaweza kusinyaa kidogo lakini inahitaji Magufuli mwingine tu aketi katika ofisi namba 1 waweze kustawi tena.
Wanafiki hao, hakuna opportunists kama CCMMpo poah humu
Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.
Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.
Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.
Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.
Povu Ruksa.
Mpumbavu tu huyo. Yeye mwenyewe inaonesha anamuwaza huyo Magufuli 24/7.Wewe inakuuma mkuu?
Ila ukiingia deal na CCM kuwa makini sanaMagufulists hawasikiki tena. Ajabu wanaosikika kila uchao wakimtaja ni wale wanaochukia mpaka kivuli chake. Yawezekana kweli Magufulists mwisho wao kusikika ikawa Julai. Bali kwa jinsi nionavyo, haters wa JPM ni kama vile wataendelea kuweweseka naye kwenye posts zao hata baada ya hiyo Julai.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umewapa mkasi wa kutosha wasamehe bureMpo poah humu
Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.
Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.
Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.
Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.
Povu Ruksa.
Kweli?? Kushinda wale wa fuasi wa MWANAKWENDAZAKESijawahi kuona kiumbe kijinga kama wafuasi wa CHADEMA
Magufulification of Afric na Magufuri mdogo eti kisemwacho ni kweli?
Magufulists hawasikiki tena. Ajabu wanaosikika kila uchao wakimtaja ni wale wanaochukia mpaka kivuli chake. Yawezekana kweli Magufulists mwisho wao kusikika ikawa Julai. Bali kwa jinsi nionavyo, haters wa JPM ni kama vile wataendelea kuweweseka naye kwenye posts zao hata baada ya hiyo Julai.
Mama anafuta legacy ya mwendazake taratiibuMpo poah humu
Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.
Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.
Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.
Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.
Povu Ruksa.
Mjinga tu wewe. Inaelekea ni mchumia tumbo cheti feki. Magufulists wanatoa angalizo kuhusu falsafa ya shujaa wao na taifa kuendelea kua mwongozo. Falsafa hio ni mtindo sahihi kujenga taifa kama alivyotarajia mwalimu nyerere. Samia kaapa kufuata njia ya magufuli. Wanachofuatilia magufulists ni kuona hatetereki. Nyie wapigaji mnachekelea kudhani mumeshinda kwa kufa magufuli. Msichojua ni kwamba magufuli aliyelala kaburini ni hatari kwenu zaidi maana sasa magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzaniaMpo poah humu
Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana.
Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele ikamshinda akaongoza miezi mitano tuu. Inasikitisha na kisa cha uchungu sana.
Hawa wanaojiita Magufulists tusiwacheke, ni haki yao kabisa kujifariji na kujitia moyo. Waachwe watapetape, kwa maana ni wafa maji. Jambo moja la uhakika ni kuwa mpaka mwezi wa saba hatutawasikia tena hawa watu wa kuonewa huruma.
Wakitoka kujiita Magufulists watakuja kujiita Samialists baada ya kugundua kuwa wanayemtetea alishaoza siku nyingi kabisa, ameshayeyuka.
Povu Ruksa.
Mjinga tu wewe. Inaelekea ni mchumia tumbo cheti feki. Magufulists wanatoa angalizo kuhusu falsafa ya shujaa wao na taifa kuendelea kua mwongozo. Falsafa hio ni mtindo sahihi kujenga taifa kama alivyotarajia mwalimu nyerere. Samia kaapa kufuata njia ya magufuli. Wanachofuatilia magufulists ni kuona hatetereki. Nyie wapigaji mnachekelea kudhani mumeshinda kwa kufa magufuli. Msichojua ni kwamba magufuli aliyelala kaburini ni hatari kwenu zaidi maana sasa magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzania
Naona umeguswaWewe inakuuma mkuu?
Wazee wa legacy mbona mna hasira, eti Magufuli aliyekufa ni hatari zaidi, haya endeleeni kuota.Mjinga tu wewe. Inaelekea ni mchumia tumbo cheti feki. Magufulists wanatoa angalizo kuhusu falsafa ya shujaa wao na taifa kuendelea kua mwongozo. Falsafa hio ni mtindo sahihi kujenga taifa kama alivyotarajia mwalimu nyerere. Samia kaapa kufuata njia ya magufuli. Wanachofuatilia magufulists ni kuona hatetereki. Nyie wapigaji mnachekelea kudhani mumeshinda kwa kufa magufuli. Msichojua ni kwamba magufuli aliyelala kaburini ni hatari kwenu zaidi maana sasa magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzania
Kama ni hivyo mbona mmedhurumu sana roho za wengine?!!mimi nikajua labda nyie hamtakuja kufa!!kwani hata vifo vya wengine havikuwauma kabisa!!Naona unajipa matumaini kama hautakufa.Kila MTU atakufa na ataoza.Wenye akili za mavi kama ww ndio mnafikiri hamtakufa