Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

Naona unajipa

Naona unajipa matumaini kama hautakufa.Kila MTU atakufa na ataoza.Wenye akili za mavi kama ww ndio mnafikiri hamtakufa

Yeye hata akifa poa tu maana hajawahi kujifanya Mungu mtu.
 
Magufulist wataendelea kuwepo muda mrefu sana.Hiyo ni mbegu ilyopandwa ndani ya mioyo ya watu. Wanaweza kusinyaa kidogo liq Inahitaji Magufuli mwingine tu aketi katika ofisi namba 1 waweze kustawi tena.

Sio vibaya kujifariji Mkuu.

Hiyo mbegu unayoisemea ni mbegu gani? Au ndio ushamba unawazingueni?
 
Mkuu naona feelings zako unashindwa kuzimonitor

Huo ndio ukweli Mkuu, hakuna cha feeling hapo.

Ni kama yule Lissu alivyoshindwa uchaguzi alafu wafuasi wake wakawa wanajipa moyo humu kuwa wataenda sijui umoja wa mataifa sijui kufanyaje huko ili serikali ishtakiwe.
 
Magufulist wataendelea kuwepo muda mrefu sana.Hiyo ni mbegu ilyopandwa ndani ya mioyo ya watu. Wanaweza kusinyaa kidogo liq Inahitaji Magufuli mwingine tu aketi katika ofisi namba 1 waweze kustawi tena.

wengine wanaita magucracy

haitafutika

maana kuna maneno alipanda

mwaka 2023 wakati CCM imejimilikisha njia kuu za uchumi watamkumbuka
 
Tuwape Faraja na kuwakubalia kila kitu tuu wasije wakajiua bure. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukiona Uwanja wa Taifa ambao kwa sasa panaitwa kwa Mkapa ni landmark ambayo Mkapa kaiacha. Hata kama pasingeitwa uwanja wa Benjamin Mkapa ila vizazi vya sasa na vijavyo havitasahau nini Mkapa alifanya.

Ukiona UDOM huwezi kumsahau JK,
ukiona Mloganzila Hospital huwezi kumsahau JK,
ukiona Terminal 3 huwezi kumsahau JK,
ukiona JKCI huwezi kumsahau JK.
Ukipita Kigamboni bridge huwezi kumsahau Nyerere

Barabara nyingi nchini zimejengwa na marais 2 Mkapa na JK, kwa asilimia kubwa JPM akiwa Waziri wa ujenzi kasi ya ujenzi ilikuwa kubwa sana.
Legacy ya JPM hata isipopiganiwa kwa nafasi yake kama Rais kwa yale aliyofanya akiwa Waziri wa Ujenzi yanatosha kumpa heshima.
Stiglers gorge,
Ukuta wa Mererani,
Daraja la Selander,
Ubungo na Mfugale interchange
Miradi ya umeme vijiji zaidi ya 9000 na maji vijijini
Maji kutoka shinyanga mpaka Tabora
Bomba la hoima (initiative)
Ku-execute SGR ya umeme
Kuweza ku-negotiate makininia Tz kupata 16% shareholding ya Twiga Corporation
Ku-crack drug dealers
Kupunguza ujambazi na unyang'anyi wa fedha na wizi wa silaa
Ujenzi wa vituo vya afya, hospitali za wilaya na ukarabati wa shule kongwe
Kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi kwa kuwa na makamishna wa ardhi kila mkoa
kuifanya biashara ya madini hasa dhahabu kufanyika kwa uwazi na dhuluma/unyang'anyi kupungua kwa kiasi kikubwa
Watoto kusoma shule bila malipo
Kuifufua ATC na kuweza kununua ndege 12 in 6 years kutoka ndege moja ya kukodi;
Kuihamisha serikali karibu yote ika-function kutokea Dodoma, loh mzee Mwinyi alikiri wao wamekaa miaka 30, wanashangaa mwanaume in 3 years Dodoma imewezekanika.

JPM ni binadamu, tumpe heshima kwa aliyofanya; tuishi na kusheherekea mengi aliyofanya kwa faida ya Watanzania. Ameondoka mengi kayaacha kwa ajili ya familia Tanzania. Huo ni uzalendo.

Kwa uchache ni ngumu sana kuzimisha kumbukumbu njema ya huyu mwanaume. Well, miaka 5 na miezi 5 akiwa Rais wa nchi kuna mema mengi kafanya na kuna mabaya kafanya; tumheshimu kwa mema aliyofanya na tusamehe kwa mabaya aliyofanya. Hata Nyerere alifanya mengi, ila katika hayo lazima kuna mabaya alikuwa nayo. Uungwana na kukumbatia wema wa mtu kwa mema aliyofanya. Ku-fight mtu alielala haina maana yoyote, ku-embrace legacy yake ni heshima kwake na kwa Taifa kwa ujumla.

Nasi tuishi kwa kutimiza wajibu wetu.
 
Nakukumbusha tu kwamba usidhani mawazo yako duni yanaweza kuuhafifisha japo tone la ukweli. Magufulification & Magufulism & Magu Team siyo just national theme, bali international conversation. Afrika nzima inamhitaji, dunia nzima inamhitaji. ^Jina lake lihifadhiwe kwenye MAKABATI YOTE ya Afrika!^ ~ Alisisitiza Mkalimani 'mbobezi'
 
Pamoja na mwezi wa saba magufulist kutosikika kwa mawazo yako,kitu nina uhakika wakati wote mfumo wa sasa ukijikwaa Magufuli atakumbukwa na kuliliwa kwa mema yake. Ndivyo inavyokuwa kwa mtu mwenye legacy.
 
Wanaonishawishi vilivyo kuwa JPM was and will ever be one of the best presidents, wala si wafuasi pamoja na wengi wanaomuunga mkono, bali ni wapinzani wake, wanafiki na wakosoaji wanaojitia hamnazo. Your unreasonable, unfound & continuous insults towards him and his profound legacy are, as it were, good and fertile soil from which come new sprouts of the same species of the very plants you're desperately but unsuccessfully trying to chop them down.
 
Sasa hawa sukuma Gang wamebaki kulazimisha mama kufuata njia za ibilisi, lakini kwa bahati mbaya huyu mama ana hofu ya Mungu ya kwe, sio yale maigizo ya lile jizi la kura lililokuwa linaamini ushirikina.
Huu msamiati Mpya wa " sukuma gang" inabidi ukome maana unachochea ubaguzi wa kikabila dhidi ya wasukuma.

Hata kama haukumkubali magufuli hili neno likiendelea kutumika litasimika ukabila rasmi katika taifa letu

For national interests tuachage upumbavu wa kujitoa akili.
 
Huu msamiati Mpya wa " sukuma gang" inabidi ukome maana unachochea ubaguzi wa kikabila dhidi ya wasukuma.

Hata kama haukumkubali magufuli hili neno likiendelea kutumika litasimika ukabila rasmi katika taifa letu

For national interests tuachage upumbavu wa kujitoa akili.
Nilitaka kuandika ulichoandika.
 
Mengi yao ni majizi kabisa, hayaamini JIWE kafa
 
Back
Top Bottom