Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atarudiii
Sina nambaMiss Shy nipigie please
Sina namba
Cyo ingine ni nyingine...., Wachaga tabu yenu ndiyo hiyoKafungua ingine tayari....
Mb 10 tukwani kufungua account shilingi ngapi
basi hakuna shidaMb 10 tu
Aifute bila kuwaaga taarifa aje atoe kupitia kurasa za watu wengine??? Akaunti imefungwa na insta nayeye kapata pakutokeaMbona kwa maelezo yake kadai kaifuta mwenyewe?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] yuko peke yake au na mmawia??Kuna jamaa yangu anafanya kazi hosptali kaniambia amemuona Salary Slip ameletwa mahututi na amepelekwa ICU baada ya kupata kifaduro ghafla.
It is not normal isn't it?Kuna watu mkimkosa mange akili inapotea!