Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Ubinafsi utaendelea kututafuna Watanzania.
Kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mkandarasi wenye uzoefu wake tu na yuko vizuri sana kiuchumi kwa level za kibongo bongo.

Mwaka uliopita nilimuomba anikopeshe 2m hili kuongeza mtaji wa biashara niliyokuwa nimeiplan ya kusafarisha na kuingiza bidhaa nje ya nchi. "Aliniambia sina kitu dogo, hali ngumu" mwaka huu mwanzoni amemvalisha mchumba wake pete yenye madini ya tanzanite ambayo thamani yake ni 1.5m. Mwezi wa tisa anafunga ndoa alafu ananiambia eti nifanye juu chini nisikose kushiriki harusi yake.

Aloo mpaka hapa ninavyoandika hata namba yake ya simu tu nilishaga ifuta kwenye phone book yangu siku nyingi sana. Na sio yeye tu nimefuta namba za karibu ndugu wote wasiokuwa na faida kwenye maisha yangu.

Sisi wabantu umimi,ubinafsi,kujiskia na kufurahia matatizo ya wengine ndio tulichobarikiwa. Na ndio maana huwa tunaendeana kwa waganga sana hili tushushane.
 
Vijana wa kibongo hamuaminiki ndiyo maana hamdhaminiki. Yaani ni heri ungemfuata na business idea avutiwe nayo, aone mtaji unaohitajika, umwambie ulichonacho na kiasi unachohitaji ili wazo litekelezeke. Mkopo unapatikana benki ndugu.
 
Mkuu, unachosema ni kweli uaminifu siku hizi ni zero kwa watu wengi. Ila kuna mazingira ambayo uaminifu sio suala la kutilia shaka hata kidogo. Kwa mfano kama huyo kaka yangu ni mtu ambae ananijua tangu udogoni na hata ukubwani ananijua kabisa hali yangu ilivyo, hivyo suala la yeye kuhitaji dhamana ingekuwa ni uchoyo wa moja kwa moja na wala hata nisingemjibu chochote.

Mpaka namuomba mkopo nilikuwa tayari nimeshampa maelezo ya kutosha tu jinsi gani nitakavyoitumia ile hela. Sema umwinyi na ubinafsi ndio kinachomsumbua utafikiri yeye hatakuja kuhitaji msaada wa aina yoyote kutoka kwangu na nina msubiria sana.

Mkuu siwezi nikaenda kuomba mkopo benki ambapo mashariti yake ni sawa na kujutia kitanzi huku umesimama kwenye stuli ya udongo wakati watu wa karibu wakunikopesha katika mazingira yenye unafuu walikuwepo.
 
Unaogopa masharti ya benki, ni ngumu kusonga mbele kibishara bila kushirikiana na mabenki ndugu!
 
Kwa level ya kiuchumi niliyopo kwa sasa ni sahihi kuziogopa benki hasa za kibongo. Sio tu kwamba wanaweza wakanifunga Bali hata wenyewe hawawezi kunipa mkopo yao, hiyo mikopo endeleen kuchukua nyie ambao tayari mna milongo kadhaa kwenye biashara.
 
Kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mkandarasi wenye uzoefu wake tu na yuko vizuri sana kiuchumi kwa level za kibongo bongo.

Mwaka uliopita nilimuomba anikopeshe 2m hili kuongeza mtaji wa biashara niliyokuwa nimeiplan ya kusafarisha na kuingiza bidhaa nje ya nchi. "Aliniambia sina kitu dogo, hali ngumu" mwaka huu mwanzoni amemvalisha mchumba wake pete yenye madini ya tanzanite ambayo thamani yake ni 1.5m. Mwezi wa tisa anafunga ndoa alafu ananiambia eti nifanye juu chini nisikose kushiriki harusi yake.

Aloo mpaka hapa ninavyoandika hata namba yake ya simu tu nilishaga ifuta kwenye phone book yangu siku nyingi sana. Na sio yeye tu nimefuta namba za karibu ndugu wote wasiokuwa na faida kwenye maisha yangu.

Sisi wabantu umimi,ubinafsi,kujiskia na kufurahia matatizo ya wengine ndio tulichobarikiwa. Na ndio maana huwa tunaendeana kwa waganga sana hili tushushane.
Mkuu pokea pole yangu.. najua maumivu uliopitia baada ya kunyimwa huo msaada.
Ila amini nakwambia pambana kivyako kwani kila mtu anafungu lake..
Tunasemaga Mola hamtupi mja wake ipo siku yatakaa sawa.
Ila hao ndugu zako haina haja ya kufuta namba zao wala kuwachukia, kwa namna moja ama nyingine wanaweza wakawa ndio wamekufungulia njia. Wewe wasamehe na upambane kivyako maisha yata enda tu.
 
Asante sana mkuu kwa kunitia nguvu na pole yako nimeipokea. Kuhusu ndugu wala siwachukii isipokuwa nna watreat the same, yaani wao wanavyonichukulia mimi ndio na mimi nawachukulia hivyo hivyo.

Kama sioni umuhimu wao basi mawasiliano yao hayana umuhimu wowote kukaa kwenye simu yangu. Acha tu tukutanishwe na matukio kama misiba basi hata harusi zao sijiangaishi.

Nimeamua kukomaa tu mimi mwenyewe na maumivu nayaskia peke yangu bila kumsumbua mtu isipokuwa marafiki wachache ambao tunaivana.
 
Wasomali wengi wako kenya ni karibu sana kutokea Somalia,ni watafutaji sana,kwa hiyo ukiona msomali kaja Tanzania na wengi unakuta wanaongea kiswahili vizuri huwa wanaanzia mishemishe zao hapo then wanasogea huku kwetu Tanzania...
 
Kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mkandarasi wenye uzoefu wake tu na yuko vizuri sana kiuchumi kwa level za kibongo bongo.

Mwaka uliopita nilimuomba anikopeshe 2m hili kuongeza mtaji wa biashara niliyokuwa nimeiplan ya kusafarisha na kuingiza bidhaa nje ya nchi. "Aliniambia sina kitu dogo, hali ngumu" mwaka huu mwanzoni amemvalisha mchumba wake pete yenye madini ya tanzanite ambayo thamani yake ni 1.5m. Mwezi wa tisa anafunga ndoa alafu ananiambia eti nifanye juu chini nisikose kushiriki harusi yake.

Aloo mpaka hapa ninavyoandika hata namba yake ya simu tu nilishaga ifuta kwenye phone book yangu siku nyingi sana. Na sio yeye tu nimefuta namba za karibu ndugu wote wasiokuwa na faida kwenye maisha yangu.

Sisi wabantu umimi,ubinafsi,kujiskia na kufurahia matatizo ya wengine ndio tulichobarikiwa. Na ndio maana huwa tunaendeana kwa waganga sana hili tushushane.
Wengi huwa mnakosea. Mnachanganya hela ya kampuni na ya mtu binafsi. Mtu anaweza kuwa na kampuni inaingiza millions lakini yeye kama yeye anajilipa kiasi fulani na hatumii nje ya hio. Kwahio kweli unaweza kumuomba milioni 1 au 2 akakwambia hana na wewe ukaona anakunyima kwa sababu unaangalia kipato cha kampuni yake.
 
mzeemzima hao vijana wamekuja Tz na nguvu gani? Nimewasikiliza wanasema wanabiashara kubwa sana kwao, pia walikuwa na base hapa Tz. Hawa sio ordinary young people like many of us.
 
Wengi huwa mnakosea. Mnachanganya hela ya kampuni na ya mtu binafsi. Mtu anaweza kuwa na kampuni inaingiza millions lakini yeye kama yeye anajilipa kiasi fulani na hatumii nje ya hio. Kwahio kweli unaweza kumuomba milioni 1 au 2 akakwambia hana na wewe ukaona anakunyima kwa sababu unaangalia kipato cha kampuni yake.
Uko sahihi bro! Hata mimi naamini kabisa siku zote hela iliyopo kwenye biashara ina milikiwa na biashara wala sio mtu.

Lakini tuseme tu na ule ukweli siku zote tunafanya kazi hili tuboreshe maisha yetu kwa maana ya kula vizuri, kulala pazuri pamoja na kuwa na balance nzuri kwa ajiri ya emergency. Sasa kwa maisha ya huyo kaka yangu hapo na uhakika hawezi kukosa balance ya millions kadhaa, kwanza harusi yake tu yenyewe anapanga budget sio chini ya 10m. Sasa kwanini asinmegee kidogo kwenye balance yake nitamrudishia pale tu mambo yangu yatakapo tick.

Anyway uchoyo wake umenifanya nijifunze vingi sana
 
Kuna mtu wa aina hio alinipa somo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom