Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Wapi ushawahi Ona msomali anafanya biashara na mswahili....
Msomali ni wao kwa wao tu......

Ova
Biashara wanafanya sana na mswahili ila kwa kuwapiga sasa ni nadra sana kupata waaminifu
Lakini wananyanyua sana watu kama utaheshimu kazi yake na mali yake
 
Kwa sababu wenyewe vyanzo vyao vya hela ni 4---- foooo rafu wanazijua sana

Ova
Huyu jamaa ananunua hapo Opal kutoka kwa hao Aussies yuko Australia hapo na ofisi yake amewapa $7000 kwa mzigo mdogo
Yaani ukiwaangalia hawa jamaa unasema ni majizi lakini hakuna watu waaminifu kama wasomali
Yaani Aussies wengi wanawajua hawana haja ya kupeleka opal sehemu nyingine na wapo kihalali
Kila wanapoenda ni kujituma tu
 
Watoto wa Baba
20180505_144123.jpeg
 
Naona unanisoma tu hili u reply wala sio kuelewa, ni wapi nimesema kwamba mimi nimekaa tu nasubiri msaada? Hujaona sehemu nimekwambia hadi mimi kufikia hatua ya kumpigia hodi my bro ilikuwa ni baada ya jitihada zangu binafsi kukwama?

Kwa hizi comments zako natumai wewe ni mtu mwenye mafanikio sana na katika safari yako hujawahi kusaidiwa hata kidogo katika maisha yako na ndio maana unaniona mimi wa maajabu. Ni kweli ujamaa ni mfumo wa kizamani kwenye mazingira sahihi ambayo ni rafiki na mifumo mingine tofauti na ujamaa.

My point is, umekosa huo "msaada" sehem uliyotaka, kwahiyo unafanya nini, unakufa? Unakaa chini unalia kama mtoto mdogo? Unaacha wazo lako life? Mtu anayetakiwa kulifanya wazo lako lifanikiwe ni wewe, siyo ndugu yako. Man up and move on. Acha kukaa ukiwaza wengine wanamiteremko kwa sababu aaabeechee, unaonekana wa ajabu kukaa ukilialia mitandaoni kumlaum "blaza" wako. Sina mafanikio ya kihivyo ndugu mi naganga tu kama mwananchi wa kawaida, lakini sijawahi kumtegemea mzazi wala ndugu zaidi ya kulipiwa ada mwisho A-Level, chuo nilijilipia, nimiaka ishirini iliyopita lakini sijawahi kuwasilisha shahada yangu popote kuomba kazi wala sijaomba mtaji kwa jamaa yeyote kwa sababu siamini katika ujamaa! Acha kushinda nyuma ya keyboard, toka nje ya huo mji ujifunze maisha.
 
Nchini kwao.muda wote vita.
Umasikini umewajaa.
Hao wapigaji madili marefu.
Ogopa mkimbizi aliyetoka kwenye nchi yenye VITA.
 
My point is, umekosa huo "msaada" sehem uliyotaka, kwahiyo unafanya nini, unakufa? Unakaa chini unalia kama mtoto mdogo? Unaacha wazo lako life? Mtu anayetakiwa kulifanya wazo lako lifanikiwe ni wewe, siyo ndugu yako. Man up and move on. Acha kukaa ukiwaza wengine wanamiteremko kwa sababu aaabeechee, unaonekana wa ajabu kukaa ukilialia mitandaoni kumlaum "blaza" wako. Sina mafanikio ya kihivyo ndugu mi naganga tu kama mwananchi wa kawaida, lakini sijawahi kumtegemea mzazi wala ndugu zaidi ya kulipiwa ada mwisho A-Level, chuo nilijilipia, nimiaka ishirini iliyopita lakini sijawahi kuwasilisha shahada yangu popote kuomba kazi wala sijaomba mtaji kwa jamaa yeyote kwa sababu siamini katika ujamaa! Acha kushinda nyuma ya keyboard, toka nje ya huo mji ujifunze maisha.
Haya nimekuelewa ndugu.
 
Wasomali wana mafanikio kokote walipo. Iwe Nairobi, Dar, Jo’burg, Ohio, Minnesota, London hadi Stockholm.

Mafanikio yao katika maisha hutokana na uaminifu mkubwa walionao, ubunifu, upambanaji (kutokata tamaa) na kufanya kazi kwa bidii. Msomali akipewa mtaji wa biashara ni lazima arejeshe, hivyo ana wajibu wa kuzalisha ziada na kwa uaminifu. Kuhusisha mafanikio ya Wasomali wengi na wale Somali pirates wachache ni kutaka kuepuka ukweli na kupoteza fursa za KUJIFUNZA toka kwao.

Trust: The driving force behind many Somali traders’ success
 
Yaani nimetembea nchi zaidi ya 20 sijawahi kuona msomali anaomba omba yaani utawakuta ni mishemishe ya utafutaji tu
Nimewaona kila mahali na wakiamua kubukua wanakipaji ila wengi ni biashara tu
Wana vipaji sana na wako sharp sana
Yeah ni kweli lakini hata wakioma huwa hawaaminiki kiasi cha kupewa kazi nzuri na nyeti....ukimkaribisha msomali mmoja basi watakuja Mia moja kupitia mgongo wake tu.

Hata wakifanikiwa vipi kimaisha uharamia hawaachi, Yaani naweza Sema hawa ndio Black Jews wenyewe Sema kupatikana Afrika ndo imewa cost sana.
 
Kwa kweli sijajua unazungumzia nchi gani maana nimeishi nao kila sehemu
Kwa ugomvi sawa hawakupi mda wa kubishana lakini kuhusu kazi kuitana nimeliona hilo na ni jambo la kawaida kwa watu wanaopendana
Ulaya mswahili hakuambii hata siku moja kampuni yake wanahitaji watu lakini wao hawana hilo
Ukienda uarabuni wote wanafanya kazi tena kwa kuitana na ni umoja
Kama ni Tz hawajafanya kazi nyeti labda Kenya ambapo wana mikoa mitatu na mawaziri kibao tofauti na kwetu ambapo hawakubaliki
 
Watoto wa Baba hao
Hata Darfur wapo ukienda Mosul utawakuta wana hotel
Torabora wana malori ya kubeba chakula cha UN kwa ajili ya walioathirika na vita

Yaani kama ni survival hawa jamaa hawanaga msalie

Nyie kaeni vijiweni mjadili nani mganga mkali wa kukupa utajiri wakati yeye mwenyewe akitegemea mali yako ili aishi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hyo watu wanapoteza muda kuwatafuta waganga Kama waliowatoa akina diamond.
 
Wakuu mbona nasoma Badi news Twitter nimeona Kwanza Tv wamepost Mahad ameuwawa Somalia kwenye shambulio la Al Shabaab
 
Akili za wabongo zitaishia kusema wanapata fedha kutokana na ugaidi au pirates hatuendi mbali zaidi ya hapo na hapo ndipo wenzetu wanapotuacha, fursa zipo nyingi ila hatuzioni wao wanakuja kutoka kwao kwenye matatizo wanapofika huku wanapiga fedha tu.
Ila Kuna kingine pia nimegundua kwamba ukitoka nje ya nchi yako unakuwa na exposure na added advantages nyingi either iwe kibiashara au kikazi kuliko ukiwa ndani ya nchi yako otherwise labda uwe fisadi au tapeli.
Ndani ya nchi yako kadri unavyozidi kuwa great thinker na kuthink nje ya box ndio kadri unavyozidi kugundua weaknesses za systems zetu na kuface barriers/hardship.
Hii kitu nimejifunza imagine Kuna kipindi nilitoka nikaajiriwa nchi jirani just kwa junior/middle level.
Maisha niliyoishi kule ni ya kifahari sana kwani nilikuwa nikienda napewa nyumba au kulipiwa hotel uzunguni na pia naendeshwa kwenye landcruiser hata nikienda saloon kunyoa,mshahara mzuri na posho za kutosha hadi zingine unazisahau kwenye akaunti.
Lakini kwa level hyo hyo nikija kufanyia kazi huku bongo naonekana kapuku tu hata vitz ya kutembelea sipewi nagombea daladala Kama za mbagala.
 
Kama hao wasomali wako wana "kipaji" mbona nchi yao ni shithole?
Nchi yao inaweza kuwa chini kutokana na majanga ya asili na ndio maana wakatumia njia mbadala ya kwenda kwenye nchi za watu waliozubaa na kutusua.
Laiti ingekuwa nchi yao ina amani Kama nchi yetu wangetisha Kama Ulaya.
 
Back
Top Bottom