Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Ni wa kuhurumia aisee kwa karne hii ambayo hata msomi anaonekana zoba, sidhani kama ni jambo la kupewa kipaumbele saaana na kuonekana big dealShangaa na wewe na wengine wameenda mbali zaidi kuhusisha na makabila yao karne hii ya 21, miaka mingine yote haikuwa habari inawezekana kwa sababu hawakutoka 'kwao'
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mko vizuri chemical Engineers 👍As a chemical engineer, Nmefurahi kusikia one of the best student anatoka chemical & Process Engineering....
Well done
kaipatia wapi..kwani jina lake halisi ni nani?Masha love mbona ana GPA ya 4.9
2.4 with honourHongera zao sana 4.7 si mchezo kabisa tunaita Beauty with brain, imebidi nirudi kuchungulia GPA yangu aah acha nitulie tu na haka kagentleman kangu😂
Tofautisha Msangi na Msengi, Meela na Meena/MennaMsengi Pare Meela Chagga
Msengi ni Nyiramba, Meela ni Hehe
ina deal na nini? (usiniambie google tafadhali, nieleweshe)Chemical processing.
simple basi kila mmoja angelipata 4.7COET kule mambo yao ni simple sana hakuna kukariri ni kuelewa tu halafu unaendelea na mambo yako mengine tofauti na CONAS mambo magumu kukariri kwingi na mambo yanapotea kichwani
Hahaaaaa wachaga ni shida.
means kila somo alikuwa above 90/100Masha love mbona ana GPA ya 4.9
Full kuji blag hawa watu. Kila kitu chao. Washakuwa wakenya sasaHapo hakuna chaga wala pare
oa
ina deal na nini? (usiniambie google tafadhali, nieleweshe)